ITAKUWAJE KAMA KURA ZITAPIGWA KUPITIA SIMU JANJA KWA ALAMA YA KIDOLE KUPITIA NIDA YAKO?

Rayamikhal

Senior Member
Joined
Sep 14, 2026
Posts
110
Reaction score
207
Wapendwa wote wa JF kutokana na kelele zote ambazo hasa hutokea kwenye miaka ya uchaguzi kuhusu tuhuma nyingi sana, hivi ni kwanini mfumo wa kupiga kura usiwe kwenye nida, simu yako ya kiganjani, alama ya kidole chako, peke yako na Siri yako? Mifumo hasa kwenye teknolojia imeshakuwa vya kutosha! Kwanini Serikali isiamue suruhisho dogo kama hili kuruhusu Uchaguzi kufanyika kupitia nida yako kwenye simu yako! Watu wenye nida Ila bila smart phone wanaweza kukusanyika eneo husika kama ofisi za serikali wakaelekezwa na kufanya uchaguzi wa haki kabisa.
Uchaguzi huu utasaidia Mambo mengi sana, hujuma wakati wa uchaguzi hautakuwepo, Vita vya wenyewe kwa wenyewe zitakoma, Vita za kisiasa zitapungua pia. Sio rahisi kuforge alama za vidole ili kudukua na kuharibu Kura Ila ni rahisi sana mtu mmoja kujaza kura ya karatasi hata 100+ teknolojia iko hapa tuitumie.
 
Si matokeo yanabadilishwa tu kwenye mfumo simple,kama watu wanachezea na kufanya ubadhirifu kwenye mifumo ya serikali ,mfumo wa uchaguzi ukiwepo si wanachezea nao tu simple like that . Ilo haliwezi kuwa suluhisho.
 
Haiwezekani labda wote tutoke twende nchi nyingine afu tuingie kwa foleni tupige live tuone kwenye screen 😎
 
Si matokeo yanabadilishwa tu kwenye mfumo simple,kama watu wanachezea na kufanya ubadhirifu kwenye mifumo ya serikali ,mfumo wa uchaguzi ukiwepo si wanachezea nao tu simple like that . Ilo haliwezi kuwa suluhisho.

Hili suala ni suala kubwa na kubatilishwa sio vyepesi kama unavyodhani, fikiria Jambo moja mfumo haupo hold na serikali kabisa pia system ipo automated alama ya kidole haibatilishwi sababu kila alama ya kidole inaidentint ya mtu mwenyewe hivyo kila kura itaainishwa moja kwa moja
 
Back
Top Bottom