Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,475
.... Kinachofurahisha kwa sasa ni kuona baadhi ya mashabiki Tanzania WAKIISIFU SANA klabu ya Al Hilal [emoji1232] na kuwa na uhakika kuwa klabu hiyo ya Sudan itaitoa Yanga klabu bingwa Africa. Well [emoji114].
Mitazamo hiyo ni faida kubwa kwa Yanga SC kwani kutokana na wao kutopewa nafasi kubwa kufuzu itakuwa chachu na itawajenga zaidi kisaikolojia, itawapa ARI ya kupambana ili kudhihirisha kuwa wao wanauwezo wa kuwatoa Al Hilal [emoji1232].
Kila changamoto ni fursa.
NB ; Faida nyingine ni kwamba,, Al Hilal [emoji1232] wakitolewa hazitasikika zile kauli za "WAMEIFUNGA TIMU DHAIFU".