Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,475
- Thread starter
- #21
Ni suala la [emoji354] tuuYanga aingie makundi ,alafu tuone itakuaje maana kwenye makundi ili upite lazima uwe wa kwanza au wa pili ,Sina waswas na kuingia makundi kwa upande wa yanga na nataman iwe Ivo ili tuujue ubora wao upo katika angle ipi.