Itakuwaje kama Yanga itafuzu Makundi?

Mzawa_G

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
669
Reaction score
1,475
.... Kinachofurahisha kwa sasa ni kuona baadhi ya mashabiki Tanzania WAKIISIFU SANA klabu ya Al Hilal [emoji1232] na kuwa na uhakika kuwa klabu hiyo ya Sudan itaitoa Yanga klabu bingwa Africa. Well [emoji114].

Mitazamo hiyo ni faida kubwa kwa Yanga SC kwani kutokana na wao kutopewa nafasi kubwa kufuzu itakuwa chachu na itawajenga zaidi kisaikolojia, itawapa ARI ya kupambana ili kudhihirisha kuwa wao wanauwezo wa kuwatoa Al Hilal [emoji1232].

Kila changamoto ni fursa.

NB ; Faida nyingine ni kwamba,, Al Hilal [emoji1232] wakitolewa hazitasikika zile kauli za "WAMEIFUNGA TIMU DHAIFU".
 
Jitihada haishindi kudra.. utopolo uwezo wa mashindano ya kimataifa ni mdogo..kule hakuna marefa wenu hawa wa kona goli..na kuvunja mageti kuingia uwanjani
 
Yanga aingie makundi ,alafu tuone itakuaje maana kwenye makundi ili upite lazima uwe wa kwanza au wa pili ,Sina waswas na kuingia makundi kwa upande wa yanga na nataman iwe Ivo ili tuujue ubora wao upo katika angle ipi.
 

Lilepo Makabi Glody

 
Jitihada haishindi kudra.. utopolo uwezo wa mashindano ya kimataifa ni mdogo..kule hakuna marefa wenu hawa wa kona goli..na kuvunja mageti kuingia uwanjani
Sawaa , ww endelea kukariri hvyo hvyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…