Ni suala la [emoji354] tuuYanga aingie makundi ,alafu tuone itakuaje maana kwenye makundi ili upite lazima uwe wa kwanza au wa pili ,Sina waswas na kuingia makundi kwa upande wa yanga na nataman iwe Ivo ili tuujue ubora wao upo katika angle ipi.
ShukraniTarehe 8 mwezi wa 10
Mkuu hata ww unaweza kuwa shoga hvyo hvyo ulivyo na wadau wakakunyandua kam kawa maana cyo kila shoga unamjua au kumuona mjini alizaliwa vileItakuweje vipi wakati hatafika makundi? Mfano wake ni sawa na watu waseme itakuwaje wewe ukiwa shoga, wakati unajijua huwezi kuwa shoga
Mpira sio maradhi kwamba yanahitajika maombi tuachieni timu yetu na nyie mna yenu tena wote tupo kwenye same competitions unaonaje hayo maombi upeleke kwenye timu yako au nyie msha kata tamaa?Mimi nawaombea utopolo wafanikiwe kuingia makundi ili wasiwe free huku premier wanakuwaga na figisu za kipumbavu sana
Aibu yako ipo karibuItakuweje vipi wakati hatafika makundi? Mfano wake ni sawa na watu waseme itakuwaje wewe ukiwa shoga, wakati unajijua huwezi kuwa shoga
Nimekutolea mfano wewe. Unaweza kuwa shoga? Jibu swali acha porojoMkuu hata ww unaweza kuwa shoga hvyo hvyo ulivyo na wadau wakakunyandua kam kawa maana cyo kila shoga unamjua au kumuona mjini alizaliwa vile
ile morali ya kuwapiga Mikia kila mechi ndo hiyo hiyo tutatumia kuwapasua Al Hilal!Yanga hana morali ya kufuzu mashindano ya wakubwa.
Nusu fainali bila kujali itaangukia kwenye kundi gani na itakaepangwa nae robo fainali? Umeongea kihisia sio fact.Timu inavyozidi kushinda ina gain momentum. Yanga ikivuka kwa Hilary nakuhakikishia inaingia nusu fainali.
TUNZA MANENO YANGU
Sawa shoga mtarajiwaNaweza ndio