samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Siku zinaenda mbele hazirudi nyuma,ipo siku tu Yanga au simba wanaweza kumiliki uwanja wao,sasa nina swali kwa mashabiki wote humu ndani.
Imetokea siku Yanga ndio wapo uwanja wao wa nyumbani kwa maana ya kwamba ndio wanaumiliki,kisha mashabiki wa Simba ndio wakavunja viti,mageti au kitu chochote kinachohusu huo uwanja na mashabiki wa Yanga wanaona live wanachokifanya mashabiki wa Simba unadhani kitatokea nini hapo uwanjani ............???
Au ndio Simba wapo uwanja wao wa nyumbani kwa maana ya kwamba ndio wanaumiliki, kisha mashabiki wa Yanga ndio wakavunja viti, mageti au kitu chochote kinachohusu huo uwanja na mashabiki wa Simba wanaona live wanachokifanya mashabiki wa Yanga unadhani kitatokea nini hapo uwanjani .............????
KUMBUKA UHARIBIFU UNAOFANYIKA SASA NI VILE WANAONA NI MALI YA SERIKALI,ILA SIKU WAO NDIO WAMILIKI WA HIKO KIWANJA .