Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana