Italia Ni nchi ya majitu uingereza ni vijitu

Italia Ni nchi ya majitu uingereza ni vijitu

Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana
Watu warefu ama majitu ulaya by genetics ni Dutch na Icelandic.
 
Back
Top Bottom