Majitu makubwa yako uholanziKama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana
The Vikings.Majitu makubwa yako uholanzi
CAG kafukuzwa we unawaza italia mbona watanzania hamjielewi? Inabidi tujadili swala la CAG kwanza ww boguz
Mbona unawaongelea wazungu tu,unawapenda sana,umeshindwa kuweka hata kabila lako tujue kama nyie ni majitu au tuandunje.Hapa duniani watu majitu ni Black america,wasudani,wasenegari, na waafrika magharibi kisha ndio wanakuja wengine.Ushahidi katazame mashindano ya timu za mpira utaona ni timu gani zina majitu na utapata majibu.Basketball inaongozwa na Black America ktokana na kuwa na miili mikubwa na urefu.Mtu anaeongoza kwa urefu NBA anaitwa TACKO FALL ni msenegari ana urefu ft.......7.7. wasudan average height yao ni ft 6.Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]anapunguza stress mkuuCAG kafukuzwa we unawaza italia mbona watanzania hamjielewi? Inabidi tujadili swala la CAG kwanza ww boguz
TuandamaneKwahiyo?
Malizia na wanavyokuita Nyani na kukutupia ndizi barabarani bila kusahau kuna mitaa unaogopa kupita maana watakuua fasta. Sehemu pekee MTU mweusi utaishi kwa raha ni Afrika tena nchi ya watu weusi. Huko Ulaya ni kutafuta tu Lakini Mtu mweusi wewe unaishi kama mbwa koko tu.Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana
Nimependa ulivyoandika uzi wote kwa mstari mmoja tu.Hata hivyo nimesoma.Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana
What a garbage thread🚮🚮🚮Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na waswedish wareno Ni Kama wahispania na waitalia ila maskini warusi weupe na nywele zao ulaya patam sana