Italian Defense Minister: Netanyahu will be arrested if he visits Italy

Italian Defense Minister: Netanyahu will be arrested if he visits Italy

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Reuters, citing the Italian Defense Minister, reports that Netanyahu will be arrested if he visits Italy.

The International Criminal Court has finally issued warrants for the arrests for the israeli war criminals — prime minister Netanyahu and Yoav Gallant.

===========

Reuters, ikimnukuu Waziri wa Ulinzi wa Italia, inaripoti kwamba Netanyahu atakamatwa ikiwa atazuru Italia.

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu hatimaye imetoa vibali vya kukamatwa kwa wahalifu wa kivita wa Israel - waziri mkuu Netanyahu na Yoav Gallant.

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

View attachment 3159003
Breaking | Reuters, citing the Italian Defense Minister, reports that Netanyahu will be arrested if he visits Italy. Kusimama Kwa Habari | Reuters, ikimnukuu Waziri wa Ulinzi wa Italia, inaripoti kwamba Netanyahu atakamatwa ikiwa atazuru Italia.

View attachment 3159007

View attachment 3159008
BREAKING NEWS
The International Criminal Court has finally issued warrants for the arrests for the israeli war criminals — prime minister Netanyahu and Yoav Gallant.
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu hatimaye imetoa vibali vya kukamatwa kwa wahalifu wa kivita wa Israel - waziri mkuu Netanyahu na Yoav Gallant.
Kawatangaziaaa kampeni mpyaaa kuanzia usiku huu wakahesabu maiti huoo gazaaa
Kazinikwakazikjmepatakazi
 
MTUPE NA MREJESHO WALIOENDA KUO ANA NA MABIKIRA 72 KESHO AABH
 
Hivi Italy ndio inapatikana Vatican city eeh,.Au tuseme makao makuu ya ukristo na kanisa kubwa Roman ..
 
Hao wa Italy ndio walimkamataga bwana yethu enzi zile ,kama walimkamata nabii sizani kama watashindwa kumkamata huyu mwalifu....
 
Wakristo wa jf bado amjajifunza tuh ,
Ni wapuuzi pekee wanaozan netanyau yuko sahihi
 
Hivi Italy ndio inapatikana Vatican city eeh,.Au tuseme makao makuu ya ukristo na kanisa kubwa Roman ..

Sema ni Makao makuu ya Dhehebu la
Kanisa Katoliki sio makao makuu ya ukristo.. ukristo hauna makao makuu..

Papa ni kiongozi wa dhehebu la kikatoliki.. ni kwakuwa tu. dhehebu la Katoliki limetamalaki Ulaya na limejikita kwenye siasa za kidunia ndio maana lina nguvu.. ila sio kuwa Papa ni kiongoz wa wakristo dunian.
 
Wakristo wa jf bado amjajifunza tuh ,
Ni wapuuzi pekee wanaozan netanyau yuko sahihi
Unatulahumu bure sisi hatuna maamuzi kwenye hii dunia, tunaangalia kwa macho kile kinachoendelea mkuu
 
Back
Top Bottom