Inajulikana, chuki za warumi kwa wayahudi. Waliwafukuza kwenye nchi yao badala yake wakawachukukuaa wapharastine wakawapa nchi ya wayahudi, walivunja hata hekalu la kiyahudi liliojengwa na Seleman mwana wa Daudi.Reuters, citing the Italian Defense Minister, reports that Netanyahu will be arrested if he visits Italy.
The International Criminal Court has finally issued warrants for the arrests for the israeli war criminals — prime minister Netanyahu and Yoav Gallant.
===========
Reuters, ikimnukuu Waziri wa Ulinzi wa Italia, inaripoti kwamba Netanyahu atakamatwa ikiwa atazuru Italia.
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu hatimaye imetoa vibali vya kukamatwa kwa wahalifu wa kivita wa Israel - waziri mkuu Netanyahu na Yoav Gallant.
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
Leo haishangazi kwa kauli hizo