Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Wazungu na WAAFRIKA ni sawa na kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huna mpango wa kwenda huko mkuu ?Naona unajipigia debe mkuu.
Wazungu na WAAFRIKA ni sawa na kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji.
Italy needs that anyway. Their population is aged. With no children in most of the casesWalichelewa. Kinachotokea sasa wanaambukizana wenyewe kwa wenyewe hukohuko ndani. Inaonekana wangezembea tena kidogo tu basi baada ya miezi mitatu kina G Sam tungeombwa tukaianzishe upya nchi ya Italy. Wewe msikilize hawafu kama hajaanzisha kaitaly kengine ka Corona hapa Tz.
Mnajifungia ndani na mwathirika unategemea nini? Ni sawa na sisi tuseme tunafunga mipaka leo,too lateIli swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
kufungia watu ndani hakuzuwii watu kufaa bali kunaruhusu walio upata kufa au kupona bila kuambukiza watu wengi.Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
Naamanisha idadi ya watu walioambukizwa nchini Italy(86498)ni kubwa sana,Bado sijakuelewa mkuu
Sent using My COVID-19
Naamanisha idadi ya watu walioambukizwa nchini Italy(86498)ni kubwa sana,
ukilinganisha na nchi kama Japani(1499) na Ugiriki (966),zenye idadi ndogo ya maambukizi.
idadi kubwa ya wagonjwa, inaenda sambamba na idadi kubwa ya vifo(ambapo wengi ni wazee).
Note. Kwenye mabano ni idadi ya walioambukizwa hadi kufikia jana usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri mkuu Wa Italy aliposema...Wamepoteza uwezo Wa Kibinadamu kukabili hili janga,tumaini lililobaki ni Kuomba nguvu kutoka juu,alimaanisha nini?'....WASHA TV yako international news usikie taarifa zao na mahojiano na wahanga wa Corona, ndugu na jamaa zao, hakuna mtu anaongelea kuomba Mungu!!!
Wanaongela vitu kama ku flaten the curve!
Yani mkakati wa hesabu za kisayansi wa ku slow down mlipuko wakati wanatafuta dawa. Nobody is talking about solving a cataclysmic pandemic through prayers!
Waafrika mkoje nyie vichwani ???
Why PM mkuu,mambo wazi hapa jamvini,wote tuone.Mkuu naomba na mm pm hyo video nione
Kuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Swali zuri sana,ukijibiwa ni tag aisee.Elimu haina mwisho."utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali "
Tofauti ya Biological weapons na silaha za kikemikali ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ndio ile judgement juu ya haya mataifa...wala msihofu, Mungu ana control haya yote, na bado. Hatuna nguvu yoyote Africa ila tutapigana na huu ugonjwa kwasababu Mungu yupo na sisi. Mungu huwa hafurahii uonevu....sasa ameanza kulipa taratibu.
Hayo majengo yote wahusika/wenye nayo wameaga Dunia?Ni hatari sana, huko Marekani mabweni, hosteli za vyuo na nyumba za wauguzi zageuzwa kuwa maeneo ya kulaza na kuhudumia wagonjwa wa corona.
Nafikiri Kutengeneza virusi au inzi au popo au kiumbe chochote kama silaha ni biological, chemical weapons ni kama kupuliza sumu ya maji maji, hewa ya sumu au any chemical material inayotoa uhai.
Ndani ya mwezi huu watu elfu 23 wamefariki dunia yote.
Mpaka april 1 huenda dunia yote vifo vikafika 30k+ maana kwa hesabu za haraka watu zaidi ya 1500 huenda kila siku wanafariki.
Vishapita 30k kabla ya April 1 mkuuNdani ya mwezi huu watu elfu 23 wamefariki dunia yote.
Mpaka april 1 huenda dunia yote vifo vikafika 30k+ maana kwa hesabu za haraka watu zaidi ya 1500 huenda kila siku wanafariki.