Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy needs that anyway. Their population is aged. With no children in most of the cases
 
Navyojua mpakasasa bado watanzania wengi wanakufa kwa malaria na ukimwi tufunge neti na kuvaa kondom waungwana.
Wamasai husema, unapotaka dumbukisa nyoka ako imeswe na chungu ya mpensiyo falisha iyo guo ya nyailoni guwo nishing'i miya tuu ....
Italia hawajadili haya walau sisi tuwasaidie watanzania kwa kuyajadili.
 
Ukiona wewe Huna Imani, basi usiwafungie wenye Imani wasimwombe Mungu wao huku ukisubili msaada wa Shetani kuondoa Corona Wakati kila mmoja anaijua kazi ya shetani

Ni kosa kubwa kuzuia watu wa Mungu wasiombe, ndicho kilichofanyika Italy
 
Ili swala limekaaje je watu wanaokufa wanatoka wapi kama watu wamefungiwa ndani na maambukizi kwanini yanaongezeka? inamaana wanaokufa wanatoka wapi? kama wanatoka ndani je usalama wa wale walio nao ndani upoje?
Mnajifungia ndani na mwathirika unategemea nini? Ni sawa na sisi tuseme tunafunga mipaka leo,too late
 
kufungia watu ndani hakuzuwii watu kufaa bali kunaruhusu walio upata kufa au kupona bila kuambukiza watu wengi.
 
Bado sijakuelewa mkuu

Sent using My COVID-19
Naamanisha idadi ya watu walioambukizwa nchini Italy(86498)ni kubwa sana,
ukilinganisha na nchi kama Japani(1499) na Ugiriki (966),zenye idadi ndogo ya maambukizi.
idadi kubwa ya wagonjwa, inaenda sambamba na idadi kubwa ya vifo(ambapo wengi ni wazee).

Note. Kwenye mabano ni idadi ya walioambukizwa hadi kufikia jana usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu kubwa tulikua tunajadili age na nikakwambia Age ya JAPAN Imeenda Zaidi Ila Hawakupata Maambukizi Navifo Kama ITALY
Sent using My COVID-19
 
Waziri mkuu Wa Italy aliposema...Wamepoteza uwezo Wa Kibinadamu kukabili hili janga,tumaini lililobaki ni Kuomba nguvu kutoka juu,alimaanisha nini?'....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
BS
hii ndio ile judgement juu ya haya mataifa...wala msihofu, Mungu ana control haya yote, na bado. Hatuna nguvu yoyote Africa ila tutapigana na huu ugonjwa kwasababu Mungu yupo na sisi. Mungu huwa hafurahii uonevu....sasa ameanza kulipa taratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri sana,ukijibiwa ni tag aisee.Elimu haina mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri Kutengeneza virusi au inzi au popo au kiumbe chochote kama silaha ni biological, chemical weapons ni kama kupuliza sumu ya maji maji, hewa ya sumu au any chemical material inayotoa uhai.
Halafu kuna biochemical weapons. Mfano unatengeneza popo au njiwa wenye virusi ndani then anayekula popo akimkamata akamla anavipata na kuvisambaza.
 
Hadi sasa tarehe 29 March 2020 ni vifo 30888. Hali ni mbaya sana.....
Ndani ya mwezi huu watu elfu 23 wamefariki dunia yote.
Mpaka april 1 huenda dunia yote vifo vikafika 30k+ maana kwa hesabu za haraka watu zaidi ya 1500 huenda kila siku wanafariki.

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…