Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Kuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
 
Watakaokufa na wafe. Hakuna namna!

Dunia itaendelea na watakaobaki!

Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.

Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!

Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
 
Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
hii ndio ile judgement juu ya haya mataifa...wala msihofu, Mungu ana control haya yote, na bado. Hatuna nguvu yoyote Africa ila tutapigana na huu ugonjwa kwasababu Mungu yupo na sisi. Mungu huwa hafurahii uonevu....sasa ameanza kulipa taratibu.
 
mungu aturehem aisee..!!hili janga ni hatari sanaa sisi tuna lochukulia very simple....
hebu pata picha ndo tanzania yetu tuna.pote raia wetu kwa rate hiyo kila sikuu....nini kitatokea...!![emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMELAANIWA!
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!

Dunia itaendelea na watakaobaki!

Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.

Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!

Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!

Dunia itaendelea na watakaobaki!

Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.

Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!

Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Aisee we jamaa inabidi urudi shule. Kichwan ni empty kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidie

WASHA TV yako international news usikie taarifa zao na mahojiano na wahanga wa Corona, ndugu na jamaa zao, hakuna mtu anaongelea kuomba Mungu!!!

Wanaongela vitu kama ku flaten the curve!

Yani mkakati wa hesabu za kisayansi wa ku slow down mlipuko wakati wanatafuta dawa. Nobody is talking about solving a cataclysmic pandemic through prayers!

Waafrika mkoje nyie vichwani ???
 
Inasikitisha na Inaumiza Sana, ukiangalia video za watu wanavyo Lilia ndugu zao huko,unaweza ukaogopa hata kutoka njee..
pandisha moja hapa au weka link
 
Back
Top Bottom