Acha ujinga we mnambeAmetoa maoni yake mkuu, Yuko na haki ya kutoa comment kwenye hii thread. And your stupidity ndo inafanya kukosoa typing error wakati umeelewa alichomaanisha
Acha upopoma we mnamberaisi = Rais
Sawa mkuuAcha ujinga we mnambe
hii ndio ile judgement juu ya haya mataifa...wala msihofu, Mungu ana control haya yote, na bado. Hatuna nguvu yoyote Africa ila tutapigana na huu ugonjwa kwasababu Mungu yupo na sisi. Mungu huwa hafurahii uonevu....sasa ameanza kulipa taratibu.Pamoja na hatua zote walizochukua hali bado ni tete sana. Siku ya leo tu watu 919 wamefariki kutokana na corona. Badala ya idadi ya vifo kupungua inazidi kuongezeka kila siku, pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidieView attachment 1401142
Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Mpumbavu wewe Mungu kakupiga kiboko cha live: Unanikosoa makosa ya kibinadamu na wewe unakosea, ulitaka kujifanya mkamilifu. Ni rais na sio raisiAngebadiri[emoji735]
Angebadili[emoji3514]
Wapuuzi kama wewe mnaniudhi sana, kuandika tu hujui halafu eti unamshauri raisi.
Stupid
Aisee we jamaa inabidi urudi shule. Kichwan ni empty kabisa.Wataokufa na wafe. Hakuna namna!
Dunia itaendelea na watakaobaki!
Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali.
Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana!
Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya umati wa watu wanaotumia na kukomba kila kilichomo!
Tulia we mnambe mkuyenge ukuingie vizuriMpumbavu wewe Mungu kakupiga kiboko cha live: Unanikosoa makosa ya kibinadamu na wewe unakosea, ulitaka kujifanya mkamilifu. Ni rais na sio raisi
Sawa. Lakini sikuleta corona mimi.
pls kabla hujalala tumia hata dakika moja kuwaombea kwa Mungu awasaidie
pandisha moja hapa au weka linkInasikitisha na Inaumiza Sana, ukiangalia video za watu wanavyo Lilia ndugu zao huko,unaweza ukaogopa hata kutoka njee..
mkuu unajua unachekesha japo si mazuri ya kuchekaUpuhuzi! Yaani ukawaombee kwa Mungu watu wanaoishi na kaburi la Petro pamoja na kuishi na Papa?
aiseeTena mwakilishi wa Mungu duniani na anamamlaka ya kusamehe dhambi.
Sent using Jamii Forums mobile app