Italy nchi nzuri pengine kupita zote duniani

Kuna ubaya gani kusifia nchi za Watu?
 
Umesahau kua uzuri wa huko ni wananchi kua na mioyo ya sacrifice kwa taifa lao juu ya Benito Mussolin fashist walie mnyonga pamoja na mkewe.
 
Umesahau kua uzuri wa huko ni wananchi kua na mioyo ya sacrifice kwa taifa lao juu ya Benito Mussolin fashist walie mnyonga pamoja na mkewe.
Clabu ya como inatoka mji gani huko? Nitajia pia miji inayotoka vilabu vya Cagliari.,...fiorentina.....Atalanta na bologna
 
wenzio ukiwaambia italy ya kusini ni maskini, wanafikiri itakuwa kama dar es salaam hivi. umasikini wa ulaya ni tofauti na umasikini wa bongo. kwa miaka kadhaa niliyokaa scandinavian countries, na kutembelea sana Italy, naweza kusema ndio nchi yenye historia kubwa ya tawala za kizamani kuliko nchi yeyote, kaskazini kuelekea ufaransa na nchi zingine ni matajiri sana na hata watu ni warefu, ila kusini wana maisha kama ya meditereneans, middle class kama za cyprus, malta, tunisia, morocco, algeria n.k hao ndio wenzao, na wamechangamana sana kusini na kuna viwatu vifupi. the more north you go the more taller people you see and the more richer, kwa sababu huko wanakuwa karibu na switzerland, ufaransa na nchi zingine ambazo ni tajiri. MJi kama Milano hata sio mbali kwenda Uswis. unaenda asubuhi na treni unarudi jioni. all in all naweza sema Italy ni nchi nzuri kihistoria na kiuchumi pia na kuna black wengi sana toka afrika magaribi, ila uchumi na uzuri wake huwezi linganisha na nchi kama Norway, Denmark, switzerland, sweden au finland, Austria n.k. kule nchi zao ni nzuri nzuri mnoi, na maisha yao yapo juu mno,
 
Umesahau kua uzuri wa huko ni wananchi kua na mioyo ya sacrifice kwa taifa lao juu ya Benito Mussolin fashist walie mnyonga pamoja na mkewe.
italia ilijengwa na dola ya kirumi ndugu, nchi mbalimbali ziliburuzwa kujenga ile nchi, kuna majengo ya zamani hadi huwezi amini, yamejengwa na warumi wenyewe. mji wa Roma wenyewe una majengo mengi ya zamani sana. kwahiyo hakuna sacrifice, kati ya nchi ziliokota dodo ya maendeleo ni italy. ni kama hapa bongo tuwe tuliburuta nchi zote za afrika tukawa tunakusanya kodi kama makoloni yetu na kujenga nchi. sasaivi tusingehangaika kujenga barabara, au sgr, ni kuboresha tu iliyojengwaga. tofauti yao na sisi, sisi tunaanza from ground, wao wamekuta vilishajengwaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…