edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapa anaongelea Italy au Zanzibar?Nilitegemea mswahili kama wewe mwisho wa siku utasema karibu zanzibar au kilimanjaro kwa hao waitaliano lakin nothings at all?? unatupa habari za watu wanapenda starehe sijui madudu gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Matapeli wote wako pale!sure nimeusahau napoli daaaaaaaa full magangwe pale
Dah... Subiri ya Tundu Lissu...ndiyo ushangae...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh mbona mnasifia nchi za watu namna hii kweli!!?
Mwisho wa mwaka, tutatembelea...
Cc: mahondaw[
/USER][/QUOTE]
lol... watu na experience zenu.. hongereni sana
kwa mtazamo wako wa haraka haraka unaona anaongerea nini na nimetoa mawazo gani?Kwani hapa anaongelea Italy au Zanzibar?
Mchawi lugha tuMkuu tupe fursa zinazopatikana huko na namna ya kupenya kuingia kwa kina Gattuso.
Sent using Jamii Forums mobile app
Clabu ya como inatoka mji gani huko? Nitajia pia miji inayotoka vilabu vya Cagliari.,...fiorentina.....Atalanta na bolognaUmesahau kua uzuri wa huko ni wananchi kua na mioyo ya sacrifice kwa taifa lao juu ya Benito Mussolin fashist walie mnyonga pamoja na mkewe.
wenzio ukiwaambia italy ya kusini ni maskini, wanafikiri itakuwa kama dar es salaam hivi. umasikini wa ulaya ni tofauti na umasikini wa bongo. kwa miaka kadhaa niliyokaa scandinavian countries, na kutembelea sana Italy, naweza kusema ndio nchi yenye historia kubwa ya tawala za kizamani kuliko nchi yeyote, kaskazini kuelekea ufaransa na nchi zingine ni matajiri sana na hata watu ni warefu, ila kusini wana maisha kama ya meditereneans, middle class kama za cyprus, malta, tunisia, morocco, algeria n.k hao ndio wenzao, na wamechangamana sana kusini na kuna viwatu vifupi. the more north you go the more taller people you see and the more richer, kwa sababu huko wanakuwa karibu na switzerland, ufaransa na nchi zingine ambazo ni tajiri. MJi kama Milano hata sio mbali kwenda Uswis. unaenda asubuhi na treni unarudi jioni. all in all naweza sema Italy ni nchi nzuri kihistoria na kiuchumi pia na kuna black wengi sana toka afrika magaribi, ila uchumi na uzuri wake huwezi linganisha na nchi kama Norway, Denmark, switzerland, sweden au finland, Austria n.k. kule nchi zao ni nzuri nzuri mnoi, na maisha yao yapo juu mno,Nimekaa miaka sita kwenye Hii nchi hakika ni nchi nzuri mnoo geographical location yake ni katikati ya ulaya watu wake ni wachapa kazi ila pia wapenda starehe mnoo dini kuu ni Roman Catholic
nchi Hii ina hazina ya historia ya kale iliyohifadhiwa vyema pengine kuliko nchi yoyote duniani pia miji yake ina ustaarabu wa kale kuliko nchi yoyote ya ulaya
Jaribu kutembelea miji Hii utaamini nisemayo
Turin
Milan
Genoa
Rome
Cicily
Kisiwa cha Cicily ndipo kundi la mafia lilizaliwa
Miaka sita niliyokaa italia nimejifunza mambo mengi umaskini upo hasa kusini ila kwa ujumla ni nchi tajiri yenye viwanda vingi vikubwa
Waitalia wanapenda Sana ngono hata viongozi wa serikali wanakumbwa Sana na haya makashfa ya ngono rejea kashfa ya dungadunga ya waziri mkuu tajiri Silvio berluscon angalau Romano prodi alikuwa ametulia ukifika Roma usisahau kufikia piaza navona
Karibuni italia
italia ilijengwa na dola ya kirumi ndugu, nchi mbalimbali ziliburuzwa kujenga ile nchi, kuna majengo ya zamani hadi huwezi amini, yamejengwa na warumi wenyewe. mji wa Roma wenyewe una majengo mengi ya zamani sana. kwahiyo hakuna sacrifice, kati ya nchi ziliokota dodo ya maendeleo ni italy. ni kama hapa bongo tuwe tuliburuta nchi zote za afrika tukawa tunakusanya kodi kama makoloni yetu na kujenga nchi. sasaivi tusingehangaika kujenga barabara, au sgr, ni kuboresha tu iliyojengwaga. tofauti yao na sisi, sisi tunaanza from ground, wao wamekuta vilishajengwaga.Umesahau kua uzuri wa huko ni wananchi kua na mioyo ya sacrifice kwa taifa lao juu ya Benito Mussolin fashist walie mnyonga pamoja na mkewe.