Itambue CCT (Christian Council of Tanzania )

Utuwekee na historia ya Bakwata na vitengo vyake.
Waislamu pia wana madhehemu kadha wa kadha hapa Tanzania sawa na Wakristo
Sasa Bakwata inawakilisha madhehebu gani kati yao? Je Bakwata inakubalika kwa madhebu ya Kiislamu au ni idara ya CCM?
 
Hawa nao wakisema, hakuna nyau ya utawala wa serikali za dunia hii ikiwemo ya Tanzania itakohoa..!!
 
Mennonite Church in Tanzania (MCT)



Jumapili. Juni 10, 1934 wamishonari na wasaidizi wao wanne kutoka Mwanza waliketi pamoja mbele ya bendi walikokuwa wakipiga kambi kwa ajili ya utumishi. Jumapili iliyofuata wenyeji watano walijiunga nao. Wamishonari walikuwa wakiwaalika wafanyakazi na kila mtu aliyesimama ili kuwasalimu. Wasaidizi wa Kisukuma wanatanguliza nyimbo kadhaa za Kiswahili. Elam Stauffer (Mmishonari) alifundisha kwaya ya Kiingereza, "Njoo kwa Yesu" na mkewe, Elizabeth, walimpa kila mtu kadi ndogo ya picha.
 
Salvation Army in Tanzania

Nchini Tanzania, Jeshi lilianza mwaka 1933. Wainjilisti wamishonari walianza kuhubiri Tabora. Muda si muda Jeshi lilikua na kuenea kaskazini mwa Tanganyika. Mwaka 1950 Jeshi lilialikwa na Gavana wa Kikoloni kuanzisha huduma ya Jeshi la Wokovu Mgulani, Dar es Salaam. Leo makao makuu ya Jeshi la Wokovu yapo Mgulani.
 
Baptist Church in Tanzania (BCT)
BCT Churches
Highland
Iringa
Mbeya
Njombe
Rukwa
Ruvuma

Lake
Mwanza
Shinyanga
Kagera
Geita
Mara
Coastal
Dodoma
Dar es Salaam
Singida
Lindi
Morogoro
Pwani
Mtwara
Unguja Kaskazini
Unguja Mjini Magharibi
Pemba Kusini
Pemba Kaskazini
Unguja Kusini

Western
Tabora
Kigoma
Simiyu
Katavi

Northern
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
 
WAKALA WA MAKANISA (WAMA - CCT)

NGO’s​

  1. Haki Elimu
  2. UZIKWASA
  3. INADES
  4. ECLAT
  5. Universal Ministry of Africa
  6. SHECAN
  7. GATSBAY TRUSTEE
  8. KCMC
  9. Global Volunteers
  10. TCRS
  11. GLRA
  12. Bible Society of Tanzania
  13. YMCA
  14. YWCA
  15. Dodoma Christian Medical Centre
  16. MAF
Asante kwa elimu,sikuwahi kujua Kumbe CCT ni pana hivi?hadi wakala wa Kanisa (NGO's)
 
Pia hospitali na chuo cha Mvumi, chuo cha msalato Dodoma, Wana shule za sekondari nyingi tu... KWa baadhi ninazo zifahamu... Dct Mvumi high school, Dct jubilee secondari school, canon Andrea mwaka n.k, primary school kuna bishop stanway, holy trinity, canon Andrea mwaka... N.k, Wana vyuo vya fundi, n.k
 
Ahsante
 
Christian Social Services Commission(CSSC)
Kuna shule za RC zilifikiwa na msaada wa TEHAMA miaka ya 2016 chini ya HDIF kama sikosei, je kuna mambo ambayo CCT na RC wanashirikiana?
 
Tamko linakuja
 
Mimi ni m - KKKT lakini nimefanya kazi sana Moravian Church nikiwa ni professional human doctor katika hospitali zao huko Tabora, Jimbo la West Tanganyika..

Jimbo la magharibi - Tanganyika linaundwa na mikoa ya Tabora, Kigoma, Rukwa na Katavi makao makuu ya jimbo hilo yakiwa Tabora..

Wanyamwezi na Waha wengi kama si waislamu au wakatoliki, basi ni wa - Moravian

Wana hospitali na shule za kutosha huko Kigoma na Tabora. They are very good people..
 
Haya makanisa ni matawi ya juu ya CCM, yapo kwa ajili ya kulinda na kutetea ufisadi wa mafisadi.

Kila mwezi mafisadi wa CCM hufanya ziara ktk ibada kwa moja wapo ya makanisa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…