Hiyo ni kazi ya FaizaFoxyUtuwekee na historia ya Bakwata na vitengo vyake.
Hiyo ni kazi ya FaizaFoxyUtuwekee na historia ya Bakwata na vitengo vyake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acheni kutisha watu,kamwe hata muwe na Taasisi Milioni bado uislamu utabaki juu.
Waislamu wana Shia na Sunni.Waislamu pia wana madhehemu kadha wa kadha hapa Tanzania sawa na Wakristo
Sasa Bakwata inawakilisha madhehebu gani kati yao? Je Bakwata inakubalika kwa madhebu ya Kiislamu au ni idara ya CCM?
Khaa!!Acheni kutisha watu,kamwe hata muwe na Taasisi Milioni bado uislamu utabaki juu.
Maeneo ya kiutawala wa serikali, na makanisa ni tofauti.Kwanini Dayosisi ya Kusini ndiyo inayohudumia Chimala na Chunya wakati hayo maeneo yako Mbeya
[emoji1787]Waislamu wana Shia na Sunni.
Lakini hao jamaa Sunni na Shia wakikutana uchochoroni lazima ngumi zipigwe! Sijui kwa nini.
😃😀😄😁😆😂😂😅😆😆Lazima itakuwa Nongwa MkuuUtuwekee na historia ya Bakwata na vitengo vyake.
Haa Tunaungoja Uzi Wetu Wa Bakwata Uletwe HarakaAcheni kutisha watu,kamwe hata muwe na Taasisi Milioni bado uislamu utabaki juu.
Safi, Msimamo wenu kwenye maslahi mapana ya Ulinzi wa Mali za umma mnasemaje ? Au ndio mmezimwa na kijana wenu anae wania Urais 2030? Jitokezeni msemeKuna madhehebu 12 na Mashirika 12 yanayohusiana na Kanisa, ilianzishwa mnamo Januari, 1934.
Mwenyekiti
Rt. Mch Dr Fredrick Shoo.
Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Makamu Mwenyekiti wa Kwanza
Rt Dk. Stanly Hotay
Askofu wa Dayosisi ya Mount Kilimnjaro Anglican Church of Tanzania
Makamu wa Pili wa Mwenyekiti
Rt. Mussa Magwesela
Rt. Mhashamu Musa Magwesela Dayosisi ya Geita na Askofu Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church of Tanzania (AICT)
Katibu Mkuu
Mchungaji Canon. Dkt Moses Matonya
Kanisa la Anglikana Tanzania
CCT Church Members
1. Evangelical Lutheran Church in Tanzania(ELCT) (KKKT)
2. Anglican Church Tanzania(ACT)
3. Moravian Church of Tanzania(MCT)
4. Africa Inland Church Tanzania (AICT)
5. Mennonite Church in Tanzania (MCT)
6. Baptist Church in Tanzania (BCT)
7. Salvation Army in Tanzania
8. Presbyterian of East Africa (PEA)
9. Bible Church Tanzania
10. Church of God in Tanzania
11. Evangelistic Church in Tanzania
12. Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA)
CCT Church Related Organization Members
1. Bible Society of Tanzania (BST)
2. Tanganyika Christian Refugees Service (TCRS)
3. Young Men’s Christian Association (YMCA)
4. Young Women’s Christian Association (YWCA)
5. Africa Evangelistic Enterprise (AEE)
6. Life Ministry Tanzania
7. Emmanuel International
8. Summer Institute of Linguistics (SIL)
9. Compassion International Tanzania
10. Dodoma Christian Medical Centre (DCMC)
11. Mission Aviations Fellowship (MAF)
12. Scripture Union
13. Soma Biblia
14. Christian Social Services Commission(CSSC)
hatutakim mambo ya dini humuKuna madhehebu 12 na Mashirika 12 yanayohusiana na Kanisa, ilianzishwa mnamo Januari, 1934.

Unataka mambo gani?hatutakim mambo ya dini humu