Itambue CCT (Christian Council of Tanzania )

Wasabato wao hawajihusishi na haya mashirika ya kikristo?
 
Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Mhandisi Robert Kitundu amewataka Wakristo wa KKKT kuendelea kuliombea Kanisa na kulisogeza mikononi mwa Mungu ili liendelee kudumu katika Umoja na upendo wa kweli.
 
Leo CCT Dodoma tumetembelewa na kupata huduma ya neno la Mungu (Ibada ya asubuhi) kutoka kwa Captain James Ndera wa Kanisa la Jeshi la Wokovu Jijini Dodoma. Katika ibada hiyo aliambatana na watumishi wa kanisa hilo akiwemo Capt: Prista Ndera
Yapo magumu unayokutana nayo katika maisha yako , Mungu anataka uanze upya kupitia magumu hayo.
USIOGOPE KUANZA UPYA UNAPOKUTANA NA MAGUMU
Isaya 43:18-19
Kutoka 4:1,10-13



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…