Fact ."Baada ya kuacha ulozi " kidding
Ila umezungumza jambo kubwa sana, nadhani tuna baadhi ya wataalam kama wa kilimo,Sheria,Afya etc toka vyuo vyetu au taasisi za umma/ binafsi wanaweza kuhifadhi maarifa kwenye forums zilizopo JF.
"Baada ya kuacha ulozi " kidding
Ila umezungumza jambo kubwa sana, nadhani tuna baadhi ya wataalam kama wa kilimo,Sheria,Afya etc toka vyuo vyetu au taasisi za umma/ binafsi wanaweza kuhifadhi maarifa kwenye forums zilizopo JF.
Historia zetu Afrika na maarifa yetu tulikuja kuandikiwa na wazungu kwakuwa sisi wenyewe hatukufanya hivyo.. Tujifunze kutorudia hilo kosa kubwaPamoja na yote jamii yetu inabidi kuwa na utamaduni wa kupenda kuandika na kushare experience.
Hata baadhi ya mambo ambayo tunaweza tusiyafanikishe sisi kwa wakati huu , Ila in future wapo watu watakuja kufaidika nayo.
Majukwa Kama Kilimo, Afya , lugha , Elimu ni majukwaa ambayo yamelala usingizi wa pono. Hii inaweza kuashiria tumekuwa na jamii tofauti hivi karibuni .
Lucas Mwashambwa anaviashiria vyote kwamba yeye ni mhusika namba Moja wa tukio la kutekwa Mdude_NyagaliKabla ya yote tuwakumbuke wote wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia.. Ugonjwa na taabu... Tuwaombee wepesi katika magumu wanatopitia. Amen
Tujadiliane haya machache lakini yenye umuhimu mkubwa
Kila kitu huzaliwa hukua na kustawi... JamiiForums nayo ilizaliwa ikakua na sasa iko kwenye ustawi
Mabadiliko mengi muhimu yamefanyika ili kufanya maboresho mbalimbali ili kuendana na mabaliko ya kitekinolojia na mahitaji ya nyakati!
Ni kwenye hili la mahitaji ya nyakati, uongozi ukaona ni vema kutuongezea majukwaa mengi zaidi kwa ajili ya kupanua wigo wa mijadala
Sasa sisi kama wanachama hai wa JF ndio tuna dhima kuu ya kuhakikisha kila jukwaa na uhai sawa na mengine japo kuna kuzidiana
Nyuzi zetu ndio huleta uhai wa JF na majukwaa take.. Tusijikite tuu kwenye
Siasa
Mapenzi
Michezo
Celebrity
Chitchat nk
Najua wengi tunapendelea kupost huko ili kupata 'engagements'.. Lakini engagement si kitu muhimu kama wasomaji... Maana kuna wakati baadhi ya engagements wala hazihusiani kabisa na maudhui ya uzi husika
Unapoweka uzi wako jukwaa lolote lile angalia trending ya idadi ya wasomaji... Kitakwimu JF ina wasomaji wengi wageni kuliko wenyeji
Hawa ni watu muhimu sana kwakuwa wengi kati yao si wageni wa kawaida bali ni viongozi mbalimbali, watumishi wa uma walio katika nafasi nyeti.. Watumishi wa sekta binafsi.. Organs za serikali mamlaka za nchi nk
Hawa hawana ID ama majukumu yao hayaruhusu kuwa na ID hapa ama kwasababu zingine zozote zile wameamua kusalia kuwa wageni
Sasa sisi wenyeji ndio tuna dhima kubwa ya kuwalisha hawa wageni chakula kizuri cha kueleweka! Chakula cha akili na ufahamu
Kama ilivyo JF kwasasa kama "credible source" ya taarifa mbalimbali za kimamlaka, kisiasa uchumi nk.. Ndivyo hivyo hivyo tufanye kwenye majukwaa mengine. Tuweke nguvu huko
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la kilimo
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la uchumi
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la ujasiriamali
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la afya nk
Hayo majukwaa yamelala lakini huko ndio kunakotufanya tuweze kuishi na kutimiza ndoto zetu nyingi
Binafsi baada ya kuachana na ulozi nimeamua sasa kujikita kwenye mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali.. Nahitaji uungwaji mkono huko
Tunahitaji wabunifu wa baadae wasiopate shida bali waje moja kwa moja JF na kujipakulia minyama tele
Na aina ya mada za ubunifu ninazoweka ni rahisi sana! Ni mada picha.. Mada za picha ni nzuri kwakuwa tayari ni kama chakula kilicho tayari mezani
Mada za ubunifu kwa kutumia picha ni nzuri kwakuwa una uwezo wa kupost picha nyingi uwezavyo bila kusubiri engagements za wengine! Wewe kazi yako ni kupost na kuangalia viewers
Natambua ugumu wa kupata picha sahihi zenye kufanana na mukatadha wako lakini pia zenye maana kusudiwa... Lakini kila kitu ni uamuzi
Kwakuwa hili linatupasa sisi wenyewe basi tuwe na mwamko mpya kwenye majukwaa mengine pia.. Tukiamua kwa umoja wetu ndani ya muda mfupi tunaweza kutengeneza kizazi cha wabunifu watakaoikomboa nchi yetu kiuchumi kama aluvyofanikiwa mchina!
Kwangu mimi ubunifu ni kila kitu. Na iwe hivyo na kwako pia!
Alamsiki JF! Alamsiki Tanganyika..!View attachment 3396729
Kuna maarifa mengi sana yanapatikana humu ndani ambayo ni vigumu kuyapata kwingineZamani wakati najoin JF nilikuwa napenda zaidi kuingia jukwaa la elimu, lugha, afya, mapishi na wakati mwengine jokes. Na kiukweli nilikuwa najifunza vitu vingi na kupata fursa ya kuuliza na kupata majibu juu ya masuala mbalimbali ya elimu.
Mdude ndio nani.Lucas Mwashambwa anaviashiria vyote kwamba yeye ni mhusika namba Moja wa tukio la kutekwa Mdude_Nyagali
Kabla ya yote tuwakumbuke wote wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia.. Ugonjwa na taabu... Tuwaombee wepesi katika magumu wanatopitia. Amen
Tujadiliane haya machache lakini yenye umuhimu mkubwa
Kila kitu huzaliwa hukua na kustawi... JamiiForums nayo ilizaliwa ikakua na sasa iko kwenye ustawi
Mabadiliko mengi muhimu yamefanyika ili kufanya maboresho mbalimbali ili kuendana na mabaliko ya kitekinolojia na mahitaji ya nyakati!
Ni kwenye hili la mahitaji ya nyakati, uongozi ukaona ni vema kutuongezea majukwaa mengi zaidi kwa ajili ya kupanua wigo wa mijadala
Sasa sisi kama wanachama hai wa JF ndio tuna dhima kuu ya kuhakikisha kila jukwaa na uhai sawa na mengine japo kuna kuzidiana
Nyuzi zetu ndio huleta uhai wa JF na majukwaa take.. Tusijikite tuu kwenye
Siasa
Mapenzi
Michezo
Celebrity
Chitchat nk
Najua wengi tunapendelea kupost huko ili kupata 'engagements'.. Lakini engagement si kitu muhimu kama wasomaji... Maana kuna wakati baadhi ya engagements wala hazihusiani kabisa na maudhui ya uzi husika
Unapoweka uzi wako jukwaa lolote lile angalia trending ya idadi ya wasomaji... Kitakwimu JF ina wasomaji wengi wageni kuliko wenyeji
Hawa ni watu muhimu sana kwakuwa wengi kati yao si wageni wa kawaida bali ni viongozi mbalimbali, watumishi wa uma walio katika nafasi nyeti.. Watumishi wa sekta binafsi.. Organs za serikali mamlaka za nchi nk
Hawa hawana ID ama majukumu yao hayaruhusu kuwa na ID hapa ama kwasababu zingine zozote zile wameamua kusalia kuwa wageni
Sasa sisi wenyeji ndio tuna dhima kubwa ya kuwalisha hawa wageni chakula kizuri cha kueleweka! Chakula cha akili na ufahamu
Kama ilivyo JF kwasasa kama "credible source" ya taarifa mbalimbali za kimamlaka, kisiasa uchumi nk.. Ndivyo hivyo hivyo tufanye kwenye majukwaa mengine. Tuweke nguvu huko
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la kilimo
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la uchumi
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la ujasiriamali
Tuongeze nguvu kwenye jukwaa la afya nk
Hayo majukwaa yamelala lakini huko ndio kunakotufanya tuweze kuishi na kutimiza ndoto zetu nyingi
Binafsi baada ya kuachana na ulozi nimeamua sasa kujikita kwenye mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali.. Nahitaji uungwaji mkono huko
Tunahitaji wabunifu wa baadae wasiopate shida bali waje moja kwa moja JF na kujipakulia minyama tele
Na aina ya mada za ubunifu ninazoweka ni rahisi sana! Ni mada picha.. Mada za picha ni nzuri kwakuwa tayari ni kama chakula kilicho tayari mezani
Mada za ubunifu kwa kutumia picha ni nzuri kwakuwa una uwezo wa kupost picha nyingi uwezavyo bila kusubiri engagements za wengine! Wewe kazi yako ni kupost na kuangalia viewers
Natambua ugumu wa kupata picha sahihi zenye kufanana na mukatadha wako lakini pia zenye maana kusudiwa... Lakini kila kitu ni uamuzi
Kwakuwa hili linatupasa sisi wenyewe basi tuwe na mwamko mpya kwenye majukwaa mengine pia.. Tukiamua kwa umoja wetu ndani ya muda mfupi tunaweza kutengeneza kizazi cha wabunifu watakaoikomboa nchi yetu kiuchumi kama aluvyofanikiwa mchina!
Kwangu mimi ubunifu ni kila kitu. Na iwe hivyo na kwako pia!
Alamsiki JF! Alamsiki Tanganyika..!View attachment 3396729
Hivi huu uzi wa huyu jamaa ulifutwa kwa sababu gani ...sijapata majibu hadi leoKabla ya yote tuwakumbuke wote wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia.. Ugonjwa na taabu... Tuwaombee wepesi katika magumu wanatopitia. Amen

NdioKwahiyo leo Lucas unajifanya humjui Mdude? Seriously?
Mwanga weMdude ndio nani.
Muda wako unahesabika mkuuNdio
Endelea kuhesabuMuda wako unahesabika mkuu
SawaEndelea kuhesabu