Jamiix
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 940
- 666
Unakatisha vipi tamaa wakati nimesema uende Tanzania Postal Office za eneo/wilaya/mkoa ulioandika address yako!!!????, mfano umeandika delivery address ya morogoro, nenda postal office morogoro, na hata kama sio hapo utapata msaada wa ndani na mzigo wako utaupata.., mbona simple tuuu, au wataka JF ndo ikuletee nyumbani???, jiongeze wakati mwingineShukran kwa mchango wako wenye kukatisha tamaa