Itambue namba Hii ya simu

Shukran kwa mchango wako wenye kukatisha tamaa
Unakatisha vipi tamaa wakati nimesema uende Tanzania Postal Office za eneo/wilaya/mkoa ulioandika address yako!!!????, mfano umeandika delivery address ya morogoro, nenda postal office morogoro, na hata kama sio hapo utapata msaada wa ndani na mzigo wako utaupata.., mbona simple tuuu, au wataka JF ndo ikuletee nyumbani???, jiongeze wakati mwingine
 
Yaishe naona umepanic
 
Morogoro ofisi IPI wakati sina sanduku la posta nawla sikujaza
 
Mkuu kwan address yako ulijaza wapi? Kwa address uliyojaza nenda posta iliyo karibu na address uliyojaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…