Itanichukua muda gani kuhitimu mafunzo ya kuongea kingereza fasaha?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Nauliza wadau;

Ni muda gani inaweza kunichukua kusoma na kuhitimu kwenye taasisi kama British Council na kuhitimu uelewa wa lugha ya kingereza cha kuniwezesha kuwasilisha hoja katika hadhara yoyote hasa za kimataifa?

Nahitaji kuingia chimbo kidogo, hiki cha "This is Musa, who is this? na This time tomorrow" naona vinaniangusha.
 
Nauliza wadau;

Ni muda gani inaweza kunichukua kusoma na kuhitimu kwenye taasisi kama British Council na kuhitimu uelewa wa lugha ya kiingereza cha kuniwezesha kuwasilisha hoja katika hadhara yoyote hasa za kimataifa?

Nahitaji kuingia chimbo kidogo, hiki cha "This is Musa, who is this? na This time tomorrow" naona vinaniangusaa

Hakuna kitu kama hicho Tanzania, ukitaka kujifunza lugha ni lazima uende mahali ambapo lugha hiyo inaongewa, na ndiyo maana wote wanaojitapa wanajua Kiingereza hapa Bongo ni waongo, hawajui chochote!

Hivyo ukitaka kujifunza lugha ni lazima uiongee, hivyo nenda nchi wanaoongea kiingereza kila siku kama Uganda au hata Kenya na kwa Kenya ukifika huko usiongee Kiswahili!

Au kwa hapa Bongo tafuta rafiki mgeni asiyejua Kiswahili!
 
Hakuna kitu kama hicho Tanzania, ukitaka kujifunza lugha ni lazima uende mahali ambapo lugha hiyo inaongewa, na ndiyo maana wote wanaojitapa wanajua Kiingereza hapa Bongo kama akina Tundu Lisu ni waongo, hawajui chochote!

Hivyo ukitaka kujifunza lugha ni lazima uiongee, hivyo nenda nchi wanaoongea kiingereza kila siku kama Uganda au hata Kenya na kwa Kenya ukifika huko usiongee Kiswahili!

Au kwa hapa Bongo tafuta rafiki mgeni asiyejua Kiswahili!

Tundu Lissu! Are you serious?
 
Nauliza wadau;

Ni muda gani inaweza kunichukua kusoma na kuhitimu kwenye taasisi kama British Council na kuhitimu uelewa wa lugha ya kiingereza cha kuniwezesha kuwasilisha hoja katika hadhara yoyote hasa za kimataifa?

Nahitaji kuingia chimbo kidogo, hiki cha "This is Musa, who is this? na This time tomorrow" naona vinaniangusaa
Itategemea na mwalimu wako, juhudi, na wepesi wako kujifunza.
 
Inategemea na level uliyopo kama ni beginner, intermediate au advanced learner. Wao watakupima kwa test kujua level uliyopo then utaanza kusoma...Miezi 3 unaweza kuanza kusikiliza hotuba za Trump km upo serious ktk kujifunza in case km ni advanced learner.
 
Ho

Kiingereza cha Trump kinasikilika. Obama baba
 
Hakuna kitu kama hicho Tanzania, ukitaka kujifunza lugha ni lazima uende mahali ambapo lugha hiyo inaongewa, na ndiyo maana wote wanaojitapa wanajua Kiingereza hapa Bongo ni waongo, hawajui chochote!

Hivyo ukitaka kujifunza lugha ni lazima uiongee, hivyo nenda nchi wanaoongea kiingereza kila siku kama Uganda au hata Kenya na kwa Kenya ukifika huko usiongee Kiswahili!

Au kwa hapa Bongo tafuta rafiki mgeni asiyejua Kiswahili!
Kapime akili wewe. Challenge me nikupasue. Hakuna kitu kilaini kama hiyo lugha, nijaribu nikukalishe.

Nachoweza kumwambia mleta mada ni kuwa kujua Kiingereza huwezi kujua kwa kwenda English Course kwa Ras Simba eti ndani ya miezi mitatu. Hizo ni ndoto.

Kujua hiyo lugha kwa undani kwanza inabidi uwe mtu determined sana, kusoma journals, novels, magazines, articles. Kuangalia sana movies za hiyo lugha na ku take note maneno usiyoyaelewa na baadae kutafuta maana zake, kuzungumza na wanaojua lugha hiyo ili kuimprove fluent.

Pamoja na hayo lazima uwe na base nzuri ya lugha hiyo kwenye grammar, morphology, phonology nakadhalika.

Ila ninaekujibu comment hii naomba futa kauli yako Tanzania kuna watu wanajua Kiingereza kuliko hata wa huko Kenya na Uganda au hata Marekani.

Kama mtu ni Mmarekani alafu anatumia "their" badala ya "they are" wakati Matanzania anaatumia sahihi huoni kama huyo Mmarekani hajui Kiingereza.

Dare Me
 
Bado yupo na mwanafunz wa kudumu pale magogoni
Ras Simba hapo amenyoosha mikono, jamaa lina kichwa kizito ni mwisho wa maneno! Kumbe zile takwimu lilizokuwa linatumwagia ni za uongo, iweje lishindwe kutema yai muda wote huo?
 
Kapime akili wewe. Challenge me nikupasue. Hakuna kitu kilaini kama hiyo lugha, nijaribu nikukalishe.

Nachoweza kumwambia mleta mada ni kuwa kujua Kiingereza huwezi kujua kwa kwenda English Course kwa Ras Simba eti ndani ya miezi mitatu. Hizo ni ndoto.

Kujua hiyo lugha kwa undani kwanza inabidi uwe mtu determined sana, kusoma journals, novels, magazines, articles. Kuangalia sana movies za hiyo lugha na ku take note maneno usiyoyaelewa na baadae kutafuta maana zake, kuzungumza na wanaojua lugha hiyo ili kuimprove fluent.

Pamoja na hayo lazima uwe na base nzuri ya lugha hiyo kwenye grammar, morphology, phonology nakadhalika.

Ila ninaekujibu comment hii naomba futa kauli yako Tanzania kuna watu wanajua Kiingereza kuliko hata wa huko Kenya na Uganda au hata Marekani.

Kama mtu ni Mmarekani alafu anatumia "their" badala ya "they are" wakati Matanzania anaatumia sahihi huoni kama huyo Mmarekani hajui Kiingereza.

Dare Me

Nitajitahidi mkuu.
Hivi nikitaka kusema "hapa kazi tuu" naiwekaje kwa mfano?
 
Inategemea na implication yako, unataka kumaanisha nini? Lugha hii sio kama kiswahili, mtu anaweza kusema sentence moja ila ikawa na implications tofauti.
 
Yaka ndeko na ngai lingala ezali kitoko Nzambe alingi biso mingi olingi koloba nini?
Let me see if I can translate these sentences:

Njoo ndugu yangu, Kilingala ni kizuri.
Mwenyezi Mungu ana uwezo mkubwa, ungependa kusema/kuongea nini?

Please correct me if I am wrong. I am in the process of learning Lingala.
 
Back
Top Bottom