Itapendeza Thiery Henry kuwa kocha mpya wa Arsenal?

Ingawa mimi ni city. Kwa ushauri wangu wamchukuwe arteta au kocha anaeifundisha tim ya taifa ya ujerumani kama mnakumbuka w/c aliwanywesha matapishi wale watoto 7-1.

Lakini huyo chogo hana lolote.
 
Joachim low hana tofauti na Wenger..hafundishi mpira wa kukazana
 
Arsenal haiwezi kuwa na makocha wawili na wenger hatoki pale hadi mauti yatakapo mkuta
 
Ingawa mimi ni city. Kwa ushauri wangu wamchukuwe arteta au kocha anaeifundisha tim ya taifa ya ujerumani kama mnakumbuka w/c aliwanywesha matapishi wale watoto 7-1.

Lakini huyo chogo hana lolote.
Unamwongelea joachim low?? Ivi kwa akili yako anaweza acha timu yake penda ya ujeruman aje kufundisha kitimu cha aseno?? Huoni kama umedharau?
 
Joachim Low alikwsha kusema baada ya kombe la dunia ana achana na National team...

Real Madrid wanamhitaji

Buyern München wanamhitaji

Arsenal wanamhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…