Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joachim low hana tofauti na Wenger..hafundishi mpira wa kukazanaIngawa mimi ni city. Kwa ushauri wangu wamchukuwe arteta au kocha anaeifundisha tim ya taifa ya ujerumani kama mnakumbuka w/c aliwanywesha matapishi wale watoto 7-1.
Lakini huyo chogo hana lolote.
Kwann actoke Mr ?Arsenal haiwezi kuwa na makocha wawili na wenger hatoki pale hadi mauti yatakapo mkuta
Unamwongelea joachim low?? Ivi kwa akili yako anaweza acha timu yake penda ya ujeruman aje kufundisha kitimu cha aseno?? Huoni kama umedharau?Ingawa mimi ni city. Kwa ushauri wangu wamchukuwe arteta au kocha anaeifundisha tim ya taifa ya ujerumani kama mnakumbuka w/c aliwanywesha matapishi wale watoto 7-1.
Lakini huyo chogo hana lolote.
Joachim Low alikwsha kusema baada ya kombe la dunia ana achana na National team...Unamwongelea joachim low?? Ivi kwa akili yako anaweza acha timu yake penda ya ujeruman aje kufundisha kitimu cha aseno?? Huoni kama umedharau?
Kwa hiyo unadhan ataacha kazi real madrid na buyern aiende aseno?Joachim Low alikwsha kusema baada ya kombe la dunia ana achana na National team...
Real Madrid wanamhitaji
Buyern München wanamhitaji
Arsenal wanamhitaji
Uyu si ndo yule aliyetimuliwa Dortmund, Sidhani kama anachochote cha kuipa Arsenalkamfundisha nani mpira?!..wamlete thomas tuchel
Unamwongelea joachim low?? Ivi kwa akili yako anaweza acha timu yake penda ya ujeruman aje kufundisha kitimu cha aseno?? Huoni kama umedharau?
Joachim low hana tofauti na Wenger..hafundishi mpira wa kukazana
anafaa yule. .bangi tu za Dortmund..hawakumtimua aliondoka..kuna vitu hakukubaliana navyoUyu si ndo yule aliyetimuliwa Dortmund, Sidhani kama anachochote cha kuipa Arsenal