ITAPENDEZA ZAIDI TUKIPATA MAONI YA WADAU KUHUSIANA NA HILI

atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
8,497
Reaction score
9,728
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana,lakini je wanajifunza maudhui yake kweli?*
 
Jina la hiyo tamthilia na picha yake mkuu iweke hapa
 
*nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana,lakini je wanajifunza maudhui yake kweli?*
Dada zenu ni akina nani? [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…