Musa Mkwanda
New Member
- Jun 20, 2023
- 2
- 2
Wengi sana wamekua wakitazama nadharia ya uhuru katika sura ya kawaida tofauti kidogo na mimi,Mimi nautazama Uhuru kwa njia ya kifalsafa zaidi. Ili taifa liitwe taifa huru Kuna mambo makuu manne yanatakiwa kuzingatiwa ninaweza kusema pia ndio msingi wa maendeleo na jamii imara
1- Taifa linatakiwa kujilisha kenyewe
2- Taifa linatakiwa kujitibu lenyewe
3- Taifa linatakiwa lijisomeshe lenyewe
4- Taia linatakiwa lijiongoze lenyewe
Ukizianza na sekta ya kujilisha lenyewe taifa letu limepiga hatua kwenye huo muelekeo kwa upande fulani Ila Kuna marekebisho makubwa yanatakiwa kwani taifa kubwa Kama hili no aibu kutikiswa kichakula na migogoro inayoendelea nje ya nchi maghala ya chakula cha ziada yaongezwe ili tuelekee kwenye Uhuru na maendeleo kamili nakumbuka raisi wa mpito wa Karne ya 20 miaka ya 1970 wa Bukina Faso Thomas Sakara alishawahi kusema akulishae ndie akutawalae Sasa nahofia tusije tukatawaliwa kisasa zaidi(ukoloni mambo leo).
Kwenye kujitibu wenyewe hakika nchi yetu haujafikiwa hiyo hatua hiyo kimakubwa zaidi matibabu yetu yanategemea sana nje kwenye upande wa dawa na vifaa tunaweza kubadilisha taifa letu kufikia taifa la ahadi.
Elimu yetu bado haijakaa Kama msingi wetu Mana mitaala yetu haijawekwa sawa bado kufikia kiwango cha kutukomboa na hali tuliyonayo Sasa elimu yetu ilitakiwa kutuwalikisha sisi wenyewe kitu kikubwa kwamba inafundishwa Ila sio kwa lugha yetu mama maanaake haituwakilishi sisi elimu ndio msingi.
Uongozi Bora ututufikisha mbali sana viongozi wanatakiwa watoke kwetu kwa ajili yetu na sio vibaraka wa jamii nyingine kwa sura Kama yetu Tanzania kubadilika inawezekana
#nchi, JamiiForums, #Tanzania,#storiesofchange

Upvote
1