Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #21
Unachosema ni sawa kabisa na hata mimi nimekiona lakini ni bora zaidi kifungu hiki cha 43(2) kingeweka wazi jambo hili kuondoa kile kinachoweza kuitwa oversight katika sheria.tatizo hapa nahisi unachanganya "lini analipwa" na "mchakato wa kumlipa" ni vitu viwili tofauti,kuanza kwa mchakato mapema hakumaanishi ndio ameanza kulipwa mapema hapana,tunaangalia lini atastaafu........
Yaani pamoja na kubadili sheria kuruhusu Raisi kukatwa kodi,kifungu hiki cha katiba ambacho kiliandikwa wakati kiinua mgongo cha raisi hakikatwi kodi ingekuwa vizuri zaidi kama kingebadilishwa kwa kuongeze shariti hili jipya baada ya uamuzi huu wa bunge.