infantrier
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 343
- 126
Itikafu ni maombi maalumu yanayofanywa na kundi la waumini wa dini ili kumshitaki mtu kwa M/mungu kwa kuwaonea!!
kama unaweza jua mpaka idadi ya majini anzisha kanisa la kuchimbua majini utatoka kimaisha si unawaona akina Gamanywa, lusekelo na Mama Lwakatare!
1994 baada ya kadhia ya Mabucha ya Nguruwe Mrema alisomewa juilize alipo, Ali Ameir Mohamed alisomewa baada ya Mauaji ya Mwembechai hivi sasa yupo kama hayupo, Askof Lwambano baada ya kusomewa kafumaniwa kafukuzwa Kanisani Mburahati, Chenge baada ya kupitisha sheria ya Ugaidi akasomewa muda mfupi baadae likafumuka la vijisent akaporomoka kutoka kwenye uwaziri, Sofia kawawa kwa watu wazima wanaijua kadhia ya 1988 habari yake muulize Vita kawawa, hii kitu ni maombi ya kumshtakia Mwnz mungu kama huna hatia hakuna neno ila kama kwenye Dhulma ya Waislam wakapatikana kweli wachamungu lazima upate khabar yake, Kama jakaya anadhulumu waislam kweli ajiandae!
Mungu yupi ambaye anaobwa ili aue wengine?
Itikafu=ITIQAF.Neno hilo ni lakabu ya kiarabu. Itiqaf, ni ile hali ukaayo mahsusi kumuomba na kumlilia Mwenyezi Mungu juu ya yote yanayokusibu au kuomba msaada. Mara nyingi Itiqaf hufanyika katika zile siku 10 za mwisho wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Ambapo wachamungu wa kweli hukaa misikitini pasipo kujihusisha na masuala mengine yeyote ya kimaisha au kidunia wala kuongea na waaminio waingiao kusali zaidi ya 'Assalaam alaikhum' pekee. Kwamba waaminio wanaokaa Itiqaf basi muda wao wooote wa hizo siku 10 hutumika katika ibada tu, yaani kuongea na Mwenyezi Mungu tu. Mwisho huwa ni mwezi unapoandama na kuthibitishwa kuwa siku inayofuata ni Eid.JK amechanganya mambo, kuna kitu huitwa 'MUBAHALA'. Mubahala ndio hutumika rasmi kuamua NGUVU ya Muumba ichukue hatua. Tena Mubahala huwa ni wazi ambapo mshitaki na mshitakiwa wote hupeana taarifa rasmi (kubainisha muongo na mkweli), (apokelewaye dua na asiyepokelewa dua). Mubahala hutoa idadi ya siku maalum hukumu ya Muumba kuwa imetolewa.JK kachanganya kati ya 'itiqaf' na 'mubahala', anapaswa aingiliapo masuala ya dini awahusishe wanazuoni wa kiislam kumpatia tafsiri yenye tafsida nzuri kwa umma.Rock City.
Dunia hii imejaa vigeugeu.Uwe mwema uwe mbaya hali moja..Hata wale wayahudi waliofaidika na miujiza ya Yesu hao hao wakasema msulibishe..kama kweli walimsomea ili afe basi ni dhahiri kuwa hata wenzake wamwaminio mungu mmoja hawamtaki. hivyo badala ya kuja kujigamba hajafa ilimpasa ajikague na kujiuliza wapi kakosea na kujiandaa kujirekebisha.
ungejua kuwa Uislam na uarabu ni vitu tofauti usingeandika ulichoandika, Hujui kuwa hata makanisa ya ufufuo Misri yanachimbua majini kwa lugha ya kiarabu
Ni sehemu gani katika bara Arab waarabu waliwaombea marais wa Marekani wafe?
Lakushindwa vita Iraq na Afghanistan ni kweli na umejionea mwenyewe jinsi Marekani anavyoshindwa Afghanistan na Iraq kijeshi, kimorali na KIUCHUMI.
Jk ni mzee wa Bagamoyo bana!!Umeshasahau ulinzi wa nguvu usioonekana wa shekh YAHAYA (R.I.P.) unaomlinda? Damu ya Yesu na ulinzi wa nguvu usioonekana husemekana havichangamani!
Sina! nifahamishe ni sehemu gani?We TV huna! .....
Hiyo yenye red ni kushika makalio na kuyaita kichwa!
Itikafu=ITIQAF.Neno hilo ni lakabu ya kiarabu. Itiqaf, ni ile hali ukaayo mahsusi kumuomba na kumlilia Mwenyezi Mungu juu ya yote yanayokusibu au kuomba msaada. Mara nyingi Itiqaf hufanyika katika zile siku 10 za mwisho wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Ambapo wachamungu wa kweli hukaa misikitini pasipo kujihusisha na masuala mengine yeyote ya kimaisha au kidunia wala kuongea na waaminio waingiao kusali zaidi ya 'Assalaam alaikhum' pekee. Kwamba waaminio wanaokaa Itiqaf basi muda wao wooote wa hizo siku 10 hutumika katika ibada tu, yaani kuongea na Mwenyezi Mungu tu. Mwisho huwa ni mwezi unapoandama na kuthibitishwa kuwa siku inayofuata ni Eid.JK amechanganya mambo, kuna kitu huitwa 'MUBAHALA'. Mubahala ndio hutumika rasmi kuamua NGUVU ya Muumba ichukue hatua. Tena Mubahala huwa ni wazi ambapo mshitaki na mshitakiwa wote hupeana taarifa rasmi (kubainisha muongo na mkweli), (apokelewaye dua na asiyepokelewa dua). Mubahala hutoa idadi ya siku maalum hukumu ya Muumba kuwa imetolewa.JK kachanganya kati ya 'itiqaf' na 'mubahala', anapaswa aingiliapo masuala ya dini awahusishe wanazuoni wa kiislam kumpatia tafsiri yenye tafsida nzuri kwa umma.Rock City.
We, NOVENA ya kuombea mtu afe?!!!WAKRISTU nao wana yao inayoitwa NOVENA ya siku SABA
Sina! nifahamishe ni sehemu gani?