ITIKAFU ni nini?

ITIKAFU ni nini?

Status
Not open for further replies.
Yule mwandishi wa kile kitabu cha aya za shetani , Suleiman Rushdie alisomewa kitu fulani na yule Ayatollah ili adhurike.Cha kushangaza baada ya wiki chache kafa yeye ayatollah ,lakini Rushdie mpaka leo bado anakula chumvi huku England. kazi kwenu.
 
kama unaweza jua mpaka idadi ya majini anzisha kanisa la kuchimbua majini utatoka kimaisha si unawaona akina Gamanywa, lusekelo na Mama Lwakatare!

baada ya mh kupiga mieleka mfulilizo, watanzania tulitangaziwa kuwa kikwete sasa amewekewa ulinzi wa majini na wole wake atakae mgusa tukaambiwa pia wole wake atakae mpiga atalamba mchanga shibunda akachomoa kuwania kupitishwa kugombea uraisi kupitia ccm na ikumbukwe hakuwahi kukanusha..
 
1994 baada ya kadhia ya Mabucha ya Nguruwe Mrema alisomewa juilize alipo, Ali Ameir Mohamed alisomewa baada ya Mauaji ya Mwembechai hivi sasa yupo kama hayupo, Askof Lwambano baada ya kusomewa kafumaniwa kafukuzwa Kanisani Mburahati, Chenge baada ya kupitisha sheria ya Ugaidi akasomewa muda mfupi baadae likafumuka la vijisent akaporomoka kutoka kwenye uwaziri, Sofia kawawa kwa watu wazima wanaijua kadhia ya 1988 habari yake muulize Vita kawawa, hii kitu ni maombi ya kumshtakia Mwnz mungu kama huna hatia hakuna neno ila kama kwenye Dhulma ya Waislam wakapatikana kweli wachamungu lazima upate khabar yake, Kama jakaya anadhulumu waislam kweli ajiandae!

Na suleyman Rushdie si alisomewa hiyo kitu?baada ya satanic verses lakini hadi leo anakula bata states,mambo ya kutishana tu,kiboko yenu ni yule mtoto wa mbagala tu.
 
Mungu yupi ambaye anaobwa ili aue wengine?

kapitie biblia au qur an..utajua Mungu yupi akiombwa achukue roho ya fisadi kama kweli ni fisadi utaona kama siyo kupooza mambo yake yataenda mlama au kamuulize lowasa
 
kama kweli walimsomea ili afe basi ni dhahiri kuwa hata wenzake wamwaminio mungu mmoja hawamtaki. hivyo badala ya kuja kujigamba hajafa ilimpasa ajikague na kujiuliza wapi kakosea na kujiandaa kujirekebisha.
 
Na al badiri nini mkuu?
Naskia ni uchawi huo..!
Itikafu=ITIQAF.Neno hilo ni lakabu ya kiarabu. Itiqaf, ni ile hali ukaayo mahsusi kumuomba na kumlilia Mwenyezi Mungu juu ya yote yanayokusibu au kuomba msaada. Mara nyingi Itiqaf hufanyika katika zile siku 10 za mwisho wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Ambapo wachamungu wa kweli hukaa misikitini pasipo kujihusisha na masuala mengine yeyote ya kimaisha au kidunia wala kuongea na waaminio waingiao kusali zaidi ya 'Assalaam alaikhum' pekee. Kwamba waaminio wanaokaa Itiqaf basi muda wao wooote wa hizo siku 10 hutumika katika ibada tu, yaani kuongea na Mwenyezi Mungu tu. Mwisho huwa ni mwezi unapoandama na kuthibitishwa kuwa siku inayofuata ni Eid.JK amechanganya mambo, kuna kitu huitwa 'MUBAHALA'. Mubahala ndio hutumika rasmi kuamua NGUVU ya Muumba ichukue hatua. Tena Mubahala huwa ni wazi ambapo mshitaki na mshitakiwa wote hupeana taarifa rasmi (kubainisha muongo na mkweli), (apokelewaye dua na asiyepokelewa dua). Mubahala hutoa idadi ya siku maalum hukumu ya Muumba kuwa imetolewa.JK kachanganya kati ya 'itiqaf' na 'mubahala', anapaswa aingiliapo masuala ya dini awahusishe wanazuoni wa kiislam kumpatia tafsiri yenye tafsida nzuri kwa umma.Rock City.
 
kama kweli walimsomea ili afe basi ni dhahiri kuwa hata wenzake wamwaminio mungu mmoja hawamtaki. hivyo badala ya kuja kujigamba hajafa ilimpasa ajikague na kujiuliza wapi kakosea na kujiandaa kujirekebisha.
Dunia hii imejaa vigeugeu.Uwe mwema uwe mbaya hali moja..Hata wale wayahudi waliofaidika na miujiza ya Yesu hao hao wakasema msulibishe..
Hata hivyo ni bora uchukiwe kwa kutenda mema kuliko mabaya..Nakuunga mkono ni muda wake mzuri wa kujitafakari je anayotenda ni mema au mabaya mpk aombewe kifo
 
ungejua kuwa Uislam na uarabu ni vitu tofauti usingeandika ulichoandika, Hujui kuwa hata makanisa ya ufufuo Misri yanachimbua majini kwa lugha ya kiarabu

Unachokisema nakijua siku nyingi....lkn ukweli utabaki pale pale huwezi kuutenganisha Uislamu na Uarabu!!
Nilikuwa namaanisha waislamu...hata wa hapa walimsomea sana hiyo makitu G.Bush!! lkn je alikufa?
 
Ni sehemu gani katika bara Arab waarabu waliwaombea marais wa Marekani wafe?

Lakushindwa vita Iraq na Afghanistan ni kweli na umejionea mwenyewe jinsi Marekani anavyoshindwa Afghanistan na Iraq kijeshi, kimorali na KIUCHUMI.

We TV huna! .....
Hiyo yenye red ni kushika makalio na kuyaita kichwa!
 
Itikafu=ITIQAF.Neno hilo ni lakabu ya kiarabu. Itiqaf, ni ile hali ukaayo mahsusi kumuomba na kumlilia Mwenyezi Mungu juu ya yote yanayokusibu au kuomba msaada. Mara nyingi Itiqaf hufanyika katika zile siku 10 za mwisho wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Ambapo wachamungu wa kweli hukaa misikitini pasipo kujihusisha na masuala mengine yeyote ya kimaisha au kidunia wala kuongea na waaminio waingiao kusali zaidi ya 'Assalaam alaikhum' pekee. Kwamba waaminio wanaokaa Itiqaf basi muda wao wooote wa hizo siku 10 hutumika katika ibada tu, yaani kuongea na Mwenyezi Mungu tu. Mwisho huwa ni mwezi unapoandama na kuthibitishwa kuwa siku inayofuata ni Eid.JK amechanganya mambo, kuna kitu huitwa 'MUBAHALA'. Mubahala ndio hutumika rasmi kuamua NGUVU ya Muumba ichukue hatua. Tena Mubahala huwa ni wazi ambapo mshitaki na mshitakiwa wote hupeana taarifa rasmi (kubainisha muongo na mkweli), (apokelewaye dua na asiyepokelewa dua). Mubahala hutoa idadi ya siku maalum hukumu ya Muumba kuwa imetolewa.JK kachanganya kati ya 'itiqaf' na 'mubahala', anapaswa aingiliapo masuala ya dini awahusishe wanazuoni wa kiislam kumpatia tafsiri yenye tafsida nzuri kwa umma.Rock City.

WAKRISTU nao wana yao inayoitwa NOVENA ya siku SABA
 
Jk anamuomba Yesu siku nyiingiii kabakia jina tuuu
 
Hivi, kabla ya kusoma hiyo sijui FATAKI, si walikaa wakapanga mipango ya hayo mauwaji yatokee vipi... Nao wakamatwe...
 
Sina! nifahamishe ni sehemu gani?

Sina haja ya kumensheni, tuliona dunia nzima bwana...hata hapa kwetu walikutana waislamu viwanja vya mnazi mmoja...kama unataka tarehe siku mwezi....hio sasa shauri yako na ubishi wako wa kwenye mihadhara ya kina Magezi...!!
 
Hahahahaaaaa natamani ingefanya kazi tu.....tungekuwa na siku zetu kadhaaa za maombolezo then hadithi haya haya matatizo matatu kwenye jamii (KJ, KoVu, na MchanaMwema) yangesahaulika na tungeanza upyaaaaaaaaaaa
 
Zile ni dua watu wanasoma. Ni kama Novena katika Kanisa Katoliki,ambayo ni sala ya baraka,inasomwa kila siku,kwa siku tisa mfululizo.
Kwa hiyo kama watu wanakutana kila jiono,wanakuomnbea mabaya,halafu wanarudia tena kesho,wanaendelea wiki nzima,wanaendelea wiki mbili,wanaendela zaidi ya wiki mbili,huo ndio ushirikina,utabakia kumtumaini Mungu kwamba hayo mambo hayana nguvu katika kuathiri maisha yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom