Itikio la "Asante" siyo "karibu"

Sawa kwa kuonyesha unyenyekevu wengine hupunguza hiyo hali ya kushukuru kwa maneno kama "mbona kidogo tu?" "usippate shida" 'jamaniii mbona hivo haya asante kwa kushukuru...' huu ni utamaduni wetu siju mwankijiji alifirije hadi akaja na hili basi nashukuru MM
 
"Asante Kushukuru" inaonyesha hata aliepewa Asante ameikubali asante na kwa heshima. imekaa vizuri na inakubalika
 
Mimi nimezowea kusikia watu wanajibu "asante" kwa "asante"

Na hivyo ndivyo nifanyavyo

"Asante kushukuru" kwangu imekaa kushoto kwa sababu kisarufi haipo sahihi
 
Somo limeeleweka vizuri sn..hizo coment nyingine ni kuweka mambo sawa tu..!!
 
Nakumbuka Babu yangu alikuwa ukimwambia 'Karibu" anajibu 'Starehe'

Nilikuwa simwelewi elewi

Hiyo kitu na mimi nakumbuka miaka fulani,'karibu' ilikuwa inajibiwa na 'starehe'.Nitafuatalia kujua kwa undani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…