Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
ha haaaaaaaaaaaa......... kwani unajua kwa kingoni wanaitikiaje?Aaaah wapi!! huu ni utaratibu wa watanzania halisi. Hujaona hapo juu Mwanakijiji katumia neno "Wabheja kulumba"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haaaaaaaaaaaa......... kwani unajua kwa kingoni wanaitikiaje?Aaaah wapi!! huu ni utaratibu wa watanzania halisi. Hujaona hapo juu Mwanakijiji katumia neno "Wabheja kulumba"
Kama Rostamu?
ha haaaaaaa, Elizabeth Dominic acha fujo bwana, unaona rafiki yangu The Boss anakana ndugu yake?Kama Sitta....
ha haaaaaaa, Elizabeth Dominic acha fujo bwana, unaona rafiki yangu The Boss anakana ndugu yake?
hilo ndo la msingiMimi kwisha gundua janja yake, lakini usijali dada FP sote dugu moja......lol
Na pia uambiwapo 'karibu', jibu lake si 'asante' kama tulivyozoea. Ukiambiwa 'karibu' watakiwa kujibu 'marhaba'
Monkey Ngabu unaona Mnyakyusa anavyokufunika?Mwanakijiji siyo Msukuma.
Nakumbuka Babu yangu alikuwa ukimwambia 'Karibu" anajibu 'Starehe'
Nilikuwa simwelewi elewi