Uchaguzi 2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

Uchaguzi 2020 Itilima! Itilima! this is too much! badilikeni haraka la sivyo muda utawabadilisha!!!

Inamaana unataka kutudanganya mbunge wa Itilima Njalu Silanga ni Chadema? Angalia comment ya juu nimekupa orodha ya wabunge wa mkoa wa Simiyu. Useme Asante basi kijana.
Kijana anajiepusha kusifia anajua hupendi
 
Huyu jamaa maisha yake anayapata kwa kutaja cdm. Akikosa la kuihusisha CDM anaweza hata kusema cdm ilizaa na mama yake
 
Back
Top Bottom