[emoji23][emoji23][emoji23] chaliifrancisco mletee tu babu K Vant maana anapoelekea sio kuzuriSasa mwambie chalii wako ailete mezani haraka sana kabla sijatoa oda ya wewe kumbania via vyako vya uzazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]hatariiKweli babe naona ni uzee maana sio kwa maneno haya
Nipeleke PM kwanza mimi sipajuiHeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Hebu ntake radhi mkuu
Usiwe na shida babe hiyo ni arosto tu ndio inamfanya awe hivyo. Akipata K Vant atakaa sawa[emoji23][emoji23][emoji23] chaliifrancisco mletee tu babu K Vant maana anapoelekea sio kuzuri
Tena kwakuwa kaleta jeuri... alete yale makubwa 14 ili wiki mbili hizi niwe naangalia Nat Geo Wild nikiwa sebuleni.[emoji23][emoji23][emoji23] chaliifrancisco mletee tu babu K Vant maana anapoelekea sio kuzuri
H a ha ha haaaaaMungu aepushilie mbali.... Lisitokee hili
Jr[emoji769]
Nisamehe babu. Punguza idadi maana hizo ni nyingi sana utalewa unaweza kuona simba anakimbiza nyumbu ukadhani anakukimbiza wewe ukakurupuka ukaanguka ukavunjika mguu babuTena kwakuwa kaleta jeuri... alete yale makubwa 14 ili wiki mbili hizi niwe naangalia Nat Geo Wild nikiwa sebuleni.
Sawa babe[emoji847][emoji847]Usiwe na shida babe hiyo ni arosto tu ndio inamfanya awe hivyo. Akipata K Vant atakaa sawa
Babu zote hizo jamani mweehTena kwakuwa kaleta jeuri... alete yale makubwa 14 ili wiki mbili hizi niwe naangalia Nat Geo Wild nikiwa sebuleni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nisamehe babu. Punguza idadi maana hizo ni nyingi sana utalewa unaweza kuona simba anakimbiza nyumbu ukadhani anakukimbiza wewe ukakurupuka ukaanguka ukavunjika mguu babu
Babu yako anavisa sana. Naona ananitafutia tu sababu bureee kabisaBabu zote hizo jamani mweeh
Alafu hajaleta jeuri mbona
Nilipata tabu sana kumlea baba yake mpaka akagradueti darasa la naneBabu yako anavisa sana. Naona ananitafutia tu sababu bureee kabisa
Hahahaa .. mimi nasubiri kwa hamu nijionee vibweka humu ... natamani siku mods wakosee kufanya settings aise[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah mkuu kuna siri nzito huko, kika member anasema atakufua iwapo mambo yataenda live hadharani hearly
Sent using Jamii Forums mobile app
MamboUwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Unafaa kwa madili ya ufisadi ngoja nitakushurikisha bado mianya ya kuoiga ufisadi ipo pamoja na jiwe kudhibiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee... nikigonga maumbile yangu ardhini utapata tabu ujue. ledada utamwona kama Alshabaab...
Hahaha sawa babuNilipata tabu sana kumlea baba yake mpaka akagradueti darasa la nane
Wewe upo salama wenzako wanapumulia mashine [emoji23][emoji23] usiombeHahahaa .. mimi nasubiri kwa hamu nijionee vibweka humu ... natamani siku mods wakosee kufanya settings aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu na wewe vipi ... huko pm au unampango wa kupa hack kama sequre smsWewe upo salama wenzako wanapumulia mashine [emoji23][emoji23] usiombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado sijawa mbobezi huko PM kila nikienda napotea njia nataka niongozwe, bado sijawa na la kuogopa kuweka hadharani nipo clean as waterHahaa mkuu na wewe vipi ... huko pm au unampango wa kupa hack kama sequre sms
Sent using Jamii Forums mobile app