Itinerary hitilafu messages za PM ziwa hadharani

Itinerary hitilafu messages za PM ziwa hadharani

Tena kwakuwa kaleta jeuri... alete yale makubwa 14 ili wiki mbili hizi niwe naangalia Nat Geo Wild nikiwa sebuleni.
Nisamehe babu. Punguza idadi maana hizo ni nyingi sana utalewa unaweza kuona simba anakimbiza nyumbu ukadhani anakukimbiza wewe ukakurupuka ukaanguka ukavunjika mguu babu
 
Back
Top Bottom