Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa mmoja wao, sijawahi zungumza pmTupo baadhi ambao hatutoathirika na hili jambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] demiss mimi kwa kweli kwenye utakatifu sipo niwe mkweli tu
sema ndio hivyo sidhan kama PM yangu ina vitu vitakavyonifanya niogope vikiwa hadharan [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah...during its prime time...in fact nishawahi kula ubweche mmoja hapa..hehehe!!!PM nyingine zilizaa ndoa na familia zinaendelea
Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
Halafu sijui niku PM wewe...tuanzishe sredi yetu huko heheheh
Halafu sijui niku PM wewe...tuanzishe sredi yetu huko heheheh
Huko PM uzi unaweza kuwekwa code lakini kuna darasa la ku uncode huko PM.
Wakati mwingine si kujulikana tu, NA UNAYOYAANDIKA HUKO PM yanakufanya usihofu
Wakati mwingine si kujulikana tu, NA UNAYOYAANDIKA HUKO PM yanakufanya usihofu
Nakuomba PM
Hakikisha silogwi