Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kwahiyo tuliofunga kumbe tunapishana na gari la mshahara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo tuliofunga kumbe tunapishana na gari la mshahara
hahahahah... siamini kama insta babe umenichoka kiasi hiki...yani pakukazia umeona hapo tuuuu [emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia kweli hauna utakatifu
Huko PM kumekua kama kichakani sasa kuna siri nzito sana huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kwelii kama mm sijisemi hakika nitahisi rohoo kutokaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nilipopaona mm insta babehahahahah... siamini kama insta babe umenichoka kiasi hiki...yani pakukazia umeona hapo tuuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plan A ndo nzuri zaidiHapa labda nikimbie I'd kama mtoa mada alivyosema au Nifunge pm na kufunga pm siwezi maana napishana na gari la mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah... sawaaaa insta babe hadi siku unikute madhabahuni nna preach ndio utajua kuwa jimmie nu mtakatifu [emoji23]Ndio nilipopaona mm insta babe
Nadhani wana tengeneza ICBM huko. So wameamua kufanya siri ili wasije kuwekewa vikwazo na marekani pamoja na washirika wake wa NATO
Hahaa kwani huwa mnafanyaga nini huko pm sijui ndio pmtutatafutana wengine humu
Sipajui ila kuna mdau ananipa directions za kufika hukoMkuu huko ni dunia nyingine kabisa ndani ya JF hii hii
Hiyo siku nitazimia nitakufa nitazikwahahahahah... sawaaaa insta babe hadi siku unikute madhabahuni nna preach ndio utajua kuwa jimmie nu mtakatifu [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tuliofunga kumbe tunapishana na gari la mshahara
Kwani huaga kuna nini huko pm?Ikitokea hivyo ninadhani members wote humu watarudi na new ID. Wengine tutawapoteza mazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plan A ndo nzuri zaidi
Unajuwa jema kwako, si lazima liwe jema kwa mwingine... HILO HILO UNALOLIONA KUWA NI JEMA, LINAWEZA LIKAWA BAYA SANA KWA MWINGINE... ndo kilogo kinapoanzia..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] magari ya majambazi