Itinerary hitilafu messages za PM ziwa hadharani

Itinerary hitilafu messages za PM ziwa hadharani

Unajifanya mtakatifu mbn kwenye I'd yang nyingine unakeshaga pm[emoji23][emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nalo ni janga kubwa. Multiple IDs, unaweza kuzama PM kwa mdada mkawa mnachatika poa tu. Ukazama kwa mwingine mnachatika poa kumbe ni mtu yule yule anakuenjoy tu babimbaaa [emoji23][emoji23][emoji23]


Kama una tabia za multiple IDs ujue Mungu anakuona.
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom