Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Dah kama yamekuwa hayo poa tu. Futa ID yangu mimi tayari nishafuta yako.Haya ..usin ongeleshe tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kama yamekuwa hayo poa tu. Futa ID yangu mimi tayari nishafuta yako.Haya ..usin ongeleshe tena
Nikikuonya hukutaka kunisikiaHaya ..usin ongeleshe tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi usinisumbe PM kule.... Niache na pensheni yangu
Dah.... aisee!Nilishakutupiamo kule pm mkuu.
Tatizo una pm nyingi sana[emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe nataka hizo Neema nasubiri uniunganishe.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Nishafuta ukiniona nipite na uniogope kama ukomaa[emoji53][emoji53][emoji53]Dah kama yamekuwa hayo poa tu. Futa ID yangu mimi tayari nishafuta yako.
Shkamoo babu[emoji847]Anhaaa
Unapajua? Huwa kuna nini huko eti we mbobeziUwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hata mimi nitaifuta... sababu hiyo avatar yako inanikwaza. Nani kakudanganya?Nishafuta ukiniona nipite na uniogope kama ukomaa[emoji53][emoji53][emoji53]
Tulia basi babu tupange na mjukuu wako kuwa tuje kukutembelea lini ili tuilete hiyo K Vant. Si lazima tununue na Dompo ya bibi, au yeye nae anakunywaga gumu 'kumesa'?Sio wivu, bali K Vant haijafika mezani.
Hahahahaha babu usimfundishe babe wangu roho mbayaKama atakuwa hajui basi usimpe tena chakula cha usiku.
Acha kuntingishia kiberiti basiNishafuta ukiniona nipite na uniogope kama ukomaa[emoji53][emoji53][emoji53]
Heee[emoji15]..kwan ni mbaya babu niitoe?Hata mimi nitaifuta... sababu hiyo avatar yako inanikwaza. Nani kakudanganya?
Wewe hata huko PM utakua unamuongela bashite tu, wewe huna cha kufichaHa ha haaaaaaa
Zangu zitakuwa hazina cha kunisukuma nibadili ID kabisaaaaaaaa
Haya yote unayataka mwenyeweHahahahaha babu usimfundishe babe wangu roho mbaya
Wewe hata huko PM utakua unamuongela bashite tu, wewe huna cha kuficha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafurahi sana, na nitajua unanipenda na kuniheshimuHeee[emoji15]..kwan ni mbaya babu niitoe?
Kunywa gahawa babu yangu kipenzi ushazeeka[emoji2088]Unaweza kunipa mbadala mjukuu?