Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

Kuna watu wachafu wakiwa na taka wanatupa mahali popote.Hasa dar pia ambako hakuna mapipa katika mji ya kuweka au kutupa taka labda seheme naalumu kama hospital
 
Kuna watu wachafu wakiwa na taka wanatupa mahali popote.Hasa dar pia ambako hakuna mapipa katika mji ya kuweka au kutupa taka labda seheme naalumu kama hospital

Naona hili limeshafika bungeni na viongozi wa juu
 
Barabara zenyewe mnazojenga mchanga haufagiliwi

Aise rwanda wako clean usafi wao kufanya siyo wa kihemuko kama malawi

Ova

Serikali itumie mabavu kwenye usafi kwa walau miaka mitano mpaka uwe utamaduni
 
Mambo mengine ni uamuzi tu, mfano watu wenye maduka kama wanalazimishwa kila mwenye eneo ambalo mfereji wa maji Safi unapita ahakikishe unakuwa msafi muda wote unadhani mifereji ingekuwa kichafu?

Wafanya usafi nao wanafagilia mchanga kwenye hiyo mifereji hivyo wenye maduka ambao mifereji inapita mbele ya maduka yao wengekuwa na jukumu la kuhakikisha michanga haifagiliwi kwenye mifereji/mitaro na hawa wafanya usafi.
 

Wazo zuri sana na applicable
 
Serikali itumie mabavu kwenye usafi kwa walau miaka mitano mpaka uwe utamaduni
Wao wenyewe wanaongoza kwa uchafu, huwezi kuwalazimisha watu kuwa wasafi wakati nyenzo za ufasi huna.

●Kila mtaa/eneo liwe na tank la kuweka taka.
●Kila baada ya siku moja gari ipite kukusanya taka, zisijae na kutapakaa.
●Toa elimu ya usafi kwa kila kaya, maana sio kila mtu anajua umuhimu wa usafi wa mazingira.
●Weka kiwango cha wastani kulipia monthly (huku ukijua wananchi walio wengi ni masikini)
 
Ongezea tozo ya taka iwekwe kwenye vinywaji hasa ambavyo vinatumia plastic nyeusi,
Utenganishaji wa taka kwenye hatua ya mwanzo ya ukusanyaji. Wananchi wawe na vyombo 2 vya kukusanyia taka (organic and inorganic wastes) ili organic ziweze kutumika kuzalisha mbolea etc
Taka za kielektoniki ambazo zimeongezeka sana siku hizi ziandaliwe utaratibu mahsusi
 
NTakupa uzoefu wangu;siku fulani nikikuwa na chupa ya maji mkononi ambayo nilitaka niitupe kwenye sehemu sahihi. Lakini nikitembea zaid ya kilomita mbili katika barabara ya Sam Nujoma sikukuta pipa lolote la taka. Katika mazingira hayo wewe ungefanya nn?
 
Kwanza toeni elimu na mboreshe miundombinu ya kuwekea taka pamoja na magari ya kukusanya taka kupeleka kunakostahili
 
Hakika mkuu!
 
Pampas zimezagaa sana mtaani mtu anakusanya nyumbani usiku anaenda zitelekeza mahali Ped pia zimezagaa yaan ovyo tu hii sekta nadhani ningekabidhiwa mimi watu wangenyooka walllah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…