Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50


😆😆😀
 
Hiyo itakuwa chanzo kingine Cha mapato ya Wagambo wa Jiji
 
Wewe utakubali kusafisha eneo ambalo unahakika ukimaliza jioni ukirudi wametupa tena uchafu mwingine na hakuna hatua zitakazochukuliwa?

Kimsingi huwezi kusafisha
Kwanza sehemu nyingi chafu sio za watu binafsi. Ni maeneo ya umma ambayo serikali inahusika nayo na hawafanyi kitu.

Angalia hata mtaani kwenu tu hapo, ukiona uchofu ujue waliipewa tenda hawajafanya kazi zao.

ACha kuwaza faini tu kama ndiyo suluhisho.
 

Mimi nimetoa njia mojawapo. Unaweza pendekeza njia zingine
 
Tatizo la Africa ni UWAJIBIKAJI
 
Utawafunga tu,hawana hizo faini,ccm imewalea hovyo watanzania kupitia kigezo cha usiwasumbue wapiga kura hao.

Kwa sasa watajifanya wako serious,subiri uchaguzi ukaribie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…