Itoshe kusema Ali Kiba ana msogo wa mawazo

Tena unajiweka namba 1 ,2 na tatu[emoji1]
 
Kiba ni mtu wa kujisikia sana na kujiona yupo juu kuliko wote.
ashukuru kipindi domo anabifu na clouds fm ndio waliompandisha ili kumshindanisha.
kiufupi ni mtu wa kubebwa na mziki wake mi naona kama baraka da prince tu.sema wake unabebwa na wivu wa kukomoa domo ila ndo wameshindwa.
 
Hao kina Salama na Bibi Tale ni wafanyakazi wa RIAA ya Tanzania?
 
Alikiba siku hizi asikiki hata ngoma anazotoa haziendi kama zamani ndio maana kaona aseme jambo ili nae atrending
Kiba yupi unamzungumzia? Kiba n
Yuko katika kilele Cha mafaniko ya kimuziki kuliko kipindi chochote kilichopita. Album yake imefanya vizuri sana mwaka huu hasa katika streams mitandaoni.
Kapiga shoo kubwa ugenini zilizomwingizia so chini ya B1 kwa siku karibu 10 alizokaa Marekani.
 
Hebu tupia video moja humu ya show zake za kuingiza B1 kwa siku Leta Vidio Mzee Baba
 
Huo uchawa wako dah! Umezidi
 
Inawezekana Bil 1 ya Zimbabwe
 
Kiba ni msanii mzuri sana ila kinachomsumbua ni ego. Anajisikia sana na kujiona amefika. Ameridhika na hapo alipo. Inanikumbusha kuna interview alifanya 50 cent akaulizwa nani mkali katika kundi lao la G-Unit, akasema Lloyd Banks. Akasema jamaa ni mkali kuliko hata yeye ila shida ni kuwa ameridhika na anajijua ni mkali so hakazi kama wenzake. Mwisho wa siku 50 akatoka jamaa akabaki na ukali wake. Haya ndio ya Kiba sasa. Mpaka vitoto vitampita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…