Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Kiba sasa hivi yuko kwenye level za wakina The Weeknd au Ed Sheeran. Huwezi kumfananisha na hawa kina Rayvanny.
Siku 10 Soma vizuri.Hebu tupia video moja humu ya show zake za kuingiza B1 kwa siku Leta Vidio Mzee Baba
Sema huna bhan kila mtu c kaiona ile vidio kwa poromota gan anaweza kulipa hy fedha kwa show moja punguza mahaba ya kijinga kwenye ukweli sema ukwel mpka hpo umekuwa zaida ya chawa sio useme hutaki kuja kuwa chawa wakeSiku 10 Soma vizuri.
Ningekuletea video sema staki nisijekuwa chawa want huyo Kibakuli wenu
Sawa alikiba, naona unajikosha kupitia hii AIDIIKiba yupi unamzungumzia? Kiba n
Yuko katika kilele Cha mafaniko ya kimuziki kuliko kipindi chochote kilichopita. Album yake imefanya vizuri sana mwaka huu hasa katika streams mitandaoni.
Kapiga shoo kubwa ugenini zilizomwingizia so chini ya B1 kwa siku karibu 10 alizokaa Marekani.
Kiba sasa hivi yuko kwenye level za wakina The Weeknd au Ed Sheeran. Huwezi kumfananisha na hawa kina Rayvanny.
King Kiba kwa hili kanishangazaaa, angepiga kimyaa tyuuh.
Mbna fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stressed KibaKulikua kuna haja gani ya yeye kuwajibu mameneja Wa WCB? Kwamba kosa ni yeye kuwekwa No. za mbali katika zile Top ten za wale Mameneja?
Ile ni mitazamo binafsi ya watu, kulikua na haja gani kuanza kubisha kwa maneno ya hovyo yaliyokosa stahaa kama sio stress zinamsumbua King wetu huyu?
Hebu tujadilini
[emoji3544] Alikiba awachana mameneja wawili wa Wasafi kwa kutoa orodha yao ya wasanii 10 bora kwa mwaka 2022, huku akijitapa kuwa King.
Alikiba ameandika, "I think mmeshajulikana kama nilazima mchokenol*we, Ndio mfunction, ili jambo lenu liende. Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachok*noe maana mtakua mmekamilisha malengo yenu kwa bahati mbaya Njomba Hajawagundua ila mimi nawajua vizuri for your [emoji3482], Sisumbuki tena."
"Najua hata hiki nilicho kiongea hapa kitawasaidia kwasababu mimi ni KING wenu tena, maana msije mkasema waporini wakati ni wewe ndio waporini. Tena mmekaa kikao kujadili na kurank wasanii, WHO ARE YOU? Nitaongea jambo lenu likiisha, Haya sasa nadhani nimewachokun*a vyakutosha tena kwa malengo mnayoyataka, have nice show."

Mbna huwa anajiita king WCB wao wanakaa kimya , wao wameweka rist zao , yeye kabwatukaAli hawezi kunyamaza hanaga huo unyonge
Simple mtu akikwambia wewe sio bora, ina maana ina maanisha wewe sio bora?Ukweli ni kwamba,hutarajii meneja wa wasafi akatoa maoni kuhusu hasimu wa diamond ,na alikiba aione halafu akae kimya..
Kiuhalisia alikiba huwa hapendi shobo so ni lazima angejibu tuu yaani lazima angawakata ngebe tu.
Kilichofanyika hapo ni propaganda ya kuendelea kimshusha ali kwa kigezo cha mawazo huru.
Naona ali yuko sawa tu,wao sio miungu kwamba lazima wasemee muziki wa tanzania.
Waambiani waache shobo.
Kwani mkuu kiba anavyojiita King kwani kuna msanii yoyote amewahi kulalamika include WCB wenyewe?Ukweli ni kwamba,hutarajii meneja wa wasafi akatoa maoni kuhusu hasimu wa diamond ,na alikiba aione halafu akae kimya..