Itoshe kusema mke ni rafiki sio ndugu

Itoshe kusema mke ni rafiki sio ndugu

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako.

Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema.

Labda kama kuna mawazo mengine.

muwe na siku njema.
 
P
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako .

Upande wa mke , huyu ni rafiki , urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya ,hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema .

muwe na siku njema .​
Pole bora umeamua kumuacha angekuuwa
 
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako .

Upande wa mke au mume , huyu ni rafiki , urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya ,hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema .
Labda kama kuna mawazo mengine

muwe na siku njema .​
Mke ni rafiki mkiwa hamna watoto. Mkishazaa tu nyie ni ndugu. Undugu wenu unaunganishwa na watoto
 
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako.

Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema.

Labda kama kuna mawazo mengine.

muwe na siku njema.
Certified friend
 
Mke sio rafiki, mke ni mpenzi, mke ni romantic partner, ukianza kumuona ni rafiki ujue upo kwenye hatua za awali za kunyimwa unyumba
 
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako.

Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema.

Labda kama kuna mawazo mengine.

muwe na siku njema.
Kama hupigi umbea na mkeo mtoe kwenye urafiki
 
Back
Top Bottom