Itoshe kusema mke ni rafiki sio ndugu

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako.

Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema.

Labda kama kuna mawazo mengine.

muwe na siku njema.
 
P Pole bora umeamua kumuacha angekuuwa
 
Mke ni rafiki mkiwa hamna watoto. Mkishazaa tu nyie ni ndugu. Undugu wenu unaunganishwa na watoto
 
Mke ni rafiki mkiwa hamna watoto. Mkishazaa tu nyie ni ndugu. Undugu wenu unaunganishwa na watoto
Inategemea. Kuna kaka yangu aliachana na mkewe, ni miaka 10 sasa hawana mawasiano. Mtoto mmoja niko naye mwingine yuko na baba yake. Hakuna cha undugu wala nini , mkishaanachana either muwe maadui au mbaki wazazi tu.
 
Certified friend
 
Mke sio rafiki, mke ni mpenzi, mke ni romantic partner, ukianza kumuona ni rafiki ujue upo kwenye hatua za awali za kunyimwa unyumba
 
Kama hupigi umbea na mkeo mtoe kwenye urafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…