It’s a Boy

Ushabadili ID mara hii[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna siku nilitaka nimshukie mtoa mada nikijua ni wewe bhana
Hapana sio mimi bhana, mimi ni mimi hapa sasa

Siunajua tena nguo zetu hizi za K/koo unanunua mnajikuta mmevaa wengi
 
Hapana sio mimi bhana, mimi ni mimi hapa sasa

Siunajua tena nguo zetu hizi za K/koo unanunua mnajikuta mmevaa wengi

[emoji23][emoji23]unajitetea??

Nakuelewa bhana,mwandiko wako sio mzuri kama wa mtoa mada

Mzima lakini?
Karibu tena[emoji847][emoji847]
 
[emoji23][emoji23]unajitetea??

Nakuelewa bhana,mwandiko wako sio mzuri kama wa mtoa mada

Mzima lakini?
Karibu tena[emoji847][emoji847]
😅😅😅 Daah!!!

Niko poa sana nashukuru Mungu pia nafuhi kukuona…. Naimani uko poa sana
 
💪💪💪💪👉👉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…