It’s a Boy

It’s a Boy

Habar wana JF

Tunamshukuru Mungu anaendelea kutupigania Finally usiku wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wako salama mama na mtoto tunashukuru Mungu

View attachment 2617780
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums Asanteni karibuni wote
Umeniangusha tu hapo ulipoonesha kuwa majina ya mbuga zoote tulizonazo umekosa jina zuri hata la eneo mojawapo au mnyama,ndege wala mdudu na unataka sisi ndo tukuchagulie.

Muite Yesu.
 
Hongereni sana ,tunamshukuru Mungu kwa jambo ,tunawaombea mama na mtoto afya njema
 
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums

Duh!

Hivi kumbe kuna raia kwenu JF ni kama msaafu...

Mtoto hupewa jina na wazazi wake...
 
Habar wana JF

Tunamshukuru Mungu anaendelea kutupigania Finally usiku wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wako salama mama na mtoto tunashukuru Mungu

View attachment 2617780
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums Asanteni karibuni wote
Last period na EDd ilikua lini 😁😁😁😁
Hongera sana
 
Back
Top Bottom