It’s a Boy

Umeniangusha tu hapo ulipoonesha kuwa majina ya mbuga zoote tulizonazo umekosa jina zuri hata la eneo mojawapo au mnyama,ndege wala mdudu na unataka sisi ndo tukuchagulie.

Muite Yesu.
 
Hongereni sana ,tunamshukuru Mungu kwa jambo ,tunawaombea mama na mtoto afya njema
 
Kwa heshima yenu pia wote nawapa nafasi ya kumchagulia jina ambalo atapewa na pia naimani ntamlea katika misingi ya ki JF nabaada ya miaka kadhaa nitahakikisha anakuja kuwa member wa JamiiForums

Duh!

Hivi kumbe kuna raia kwenu JF ni kama msaafu...

Mtoto hupewa jina na wazazi wake...
 
Last period na EDd ilikua lini 😁😁😁😁
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…