wadau, haya ni maneno ya email ambayo nimepokea kutoka kwa mtu ninayemfahamu. nilipatwa na mshtuko mkubwa lakini kwa kuwa mtu huyo sifahamu kwa sasa alipo bali tu najua wapi alikuwa anafanya kazi zamani nikasema ngoja nipige simu kwa hiyo ofisi yake ya zamani ili waweze kumsaidia maana jamaa ni mwandishi wa habari kwa hiyo ilikiclick akilini mwangu kwamba inawezekana ni kweli alikwenda kwenye mission na yakamkuta hayo yaliyomkuta.
vile vile kilichonisababisha nimtafute mwajiri wake ni kuwa hiyo hela sina na wala siwezi kuwa nayo, na kwa vile jammaa alinisaidia nikaona wacha nitoe taarifa kwa watu wanaoweza kumsaidia.
cha ajabu ofisi yake kweli ikakubali aliwahi kuwa mfanyakazi wao ila wakasema hizo email ni za utapeli as hata wao walipata hiyo email from two different people with eaxactly the same story na wakanihakikishia kuwa huyo jammaa hajaandika hiyo email.
swali langu kwa wataaalam wa IT ni kuwa wanawezaje kuaccess hizi email za watu na wakatuma as if ni mwenye email ndio katuma. naogopa mimi maana huenda kuna mtu kashalizwa kwa kupitia email yangu. nisaidieni tafadhali
Am in a hurry writing you this note, Just wanted to seek your help on something very important, you are the only person i could reach at this point, and i hope you come to my aid. Because something very terrible is happening to me now, i need a favor from you now,I had a trip here in Scotland on a mission.
Unfortunately for me all my money got stolen on my way to the hotel where i lodged along with my bag were my passport was ,And since then i have been without any money i am even owing the hotel here.
So i have limited access to emails for now, please i need you to lend me about 1400Pounds so i can make arrangements and return back please,i have spoken to
the embassy here but they are not responding to the matter effectively, I will return the money back to you as soon as i get home, I am so confused right now.
I will be waiting to hear from you.
Regards